Msaada wa chuo cha clinical ofisa kizuri cha binafsi

Msaada wa chuo cha clinical ofisa kizuri cha binafsi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,600
Reaction score
103,451
Naomba mwenye kujua chuo kizuri cha clinical officers training school cha binafsi aniwekee hapa.

Nitashukuru sana
 
St.bakhita kipo rukwa, bonge moja na chuo kwa upande wa nursing na clinical medicine
 
Ok.. ila unajaribu tu huwezi jua zari lako
Mwaka jana walichukua cut off ya point 17 ambayo ni div 1- kwa Lugalo na Kibaha , kilosa. Mimi nina div 2 pt 20.( ni mwaka jana) unanishaurje . Nawaza nursing labda itakubali ingawa nilitaka clinical ofisa
 
Mwaka jana walichukua cut off ya point 17 ambayo ni div 1. Mimi nina div 2 pt 20. unanishaurje ( ni mwaka jana). Nawaza nursing labda itakubali ingawa nilitaka clinical ofisa
Duh...! kwa hyo mara nying huwa wanachaguliwa wenye One..et
 
Inavyoonysha. Watu hawaendi form five tena, wanakimbilia vyuo. tufanyeje, labda nursing watu hawaipendi sana hasa wanawake.
Kweli kabisa, hata me naona hivyo.. maana dvn 1 au 2 inabidi waende five.. sasa siku hz wanajazana CO
 
Inavyoonysha. Watu hawaendi form five tena, wanakimbilia vyuo. tufanyeje, labda nursing watu hawaipendi sana hasa wanawake.

Kama usipojali soma nursing,ina shavu kuliko CO
 
Kama usipojali soma nursing,ina shavu kuliko CO[/QUOT
Kwa vipi ina shavu , mbona CO ndiyo inapendwa. Lakini kama ulivyosema, nursing competition siyo kubwa kama CO. Poa!
 
Kama usipojali soma nursing,ina shavu kuliko CO

Ina shavu kuliko CO kivipi wakati diploma zote serikalini mshahara ni sawa

Pia kwa level ya degree daktari analipwa almost milioni na nusu basic while nurse milioni moja

Hilo shavu la nurse vs clinical officer ni lipi?
 
Kiutendaji CO hawezi kufanya kazi kwenye Hospitali kubwa while RN anafanya.
 
Back
Top Bottom