Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,195
- 691
Acha kumpoteza dogoKam ni kizuri ila hata KU(kampala)wanatoa clinical medicine
Karibu Tanga mkuu usambaani Bumbuli clinical officer's training center
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Tanga mkuu usambaani Bumbuli clinical officer's training center
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu hiyo lazima uingie kazini miaka miwili ndo usome degree...labda nje ya nchiMkuu,
Mkuu, baada ya kumaliza clinical medicine mtu unaweza kusoma degree moja kwa moja bila kupata experience, yani unamaliza mwaka huu alafu mwaka unaofuata ukasoma degree??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi chukuliwa lazima uwe na C ya chem na bioa may be D ya phy kwa vyuo vyote vya private na governmentJe akiwa na ,C Chem., C biol , D Chem na C maths machame hawachukui .
Sent using Jamii Forums mobile app
Bumbuli kwani mnadahili wanafunz saivi?Exactly unapata Chuo hkina competition kiivyo piga io namba n msajili Wa wanafunzi ujihkkishie nafasi km upo mkoa Wa krb uje chuoni uchukue fomu 0787337872 Asalam alaikum samahani kwa kuchelewa Ku replay
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unahitaji chuo fanya michakato bac deadline ndo ipo puaniBumbuli kwani mnadahili wanafunz saivi?