Msaada wa chuo cha clinical ofisa kizuri cha binafsi

wakuu huyu jamaa alinitisha alivyosema cut point 17 kwan wanachoangalia division au vigezo vyao zaidi

Usikatae niliomba wakanipatia feedback kwanini sikuchaguliwa, wakasema sikuweza ku compete maana waliniambia kuwa mwisho ni pt 17 wakati nina 20

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
 
omba chuo cha serikali ukikosa nenda private ila usiendee kiu,city collage wala kam na paragism utajuta
 
mkuu ach
Nenda kampala international university utafurahi sana,, usidanganywe na wanaupepo,, ukiwa chin ya university kuna rahaaa yake mfano hai nilikuta walimu wanaofundisha vyuo vikubwa vya afya hapa nchin wakifundisha hapo chuon ,, ukienda college utafundishwa na ASSTANCE MEDICAL OFFICER AU 1st medical degree matatzo yake utayajua siku ukikutana na specialist wa vitengo,, nakuomba sana nenda kampala utaenjoy siku unaenda bachelor third year,, kila kitu utakuwa unajikumbushia tuuuu,,,,, serikalin vyuo vya afya shida tupuuu
mkuu acha kuingiza watu shimoni,nipo kiu clinical medicine najuta nikipiga paper la nacte nikitoboa nasepa chuo ovyo kabisa hiki
 
ada ni sawa na bure ila ukitoka hapo huwezi kusimama na hata mtu alliyessoma alugalo
 
Nursing utakuwa mtumwa siku zote,, kafanye co ukimaliza ntafute nikupe mchongo kuhusu bachelor nzuri ambayo unakula pesa chin ya kiyoyoz,, sio kule danger room
Mkuu,
Nursing utakuwa mtumwa siku zote,, kafanye co ukimaliza ntafute nikupe mchongo kuhusu bachelor nzuri ambayo unakula pesa chin ya kiyoyoz,, sio kule danger room
Mkuu, baada ya kumaliza clinical medicine mtu unaweza kusoma degree moja kwa moja bila kupata experience, yani unamaliza mwaka huu alafu mwaka unaofuata ukasoma degree??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikatae niliomba wakanipatia feedback kwanini sikuchaguliwa, wakasema sikuweza ku compete maana waliniambia kuwa mwisho ni pt 17 wakati nina 20

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
Nimekisoma shida yako kubwa uliapply vyuo vyenye compttion kubwa lakini usiseme eti div one pekee ndo wanasoma CO
 
Back
Top Bottom