Utajuaje kama simu unayotumia ni original fake au refurbished

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Fahamu mambo muhimu kuzingatia kujua kama simu yako ni Fake au original

sio rahisi mtu kujua kama simu uliyonunua ni fake kwa mara ya kwanza ukiona maana inaonekana kama original. ila leo @bongotech255 tutawajulisha njia za kuangalia na kugundua kama simu yako android au IPhone ni original clone au refurbished.

refurbished ni simu ambazo zimefanyiwa matengenzo na kupigwa polished baada ya kuhalibika na simu nyingi huwa wanazifanya mfumo huu haswa Samsung , tecno , oppo na nk

IPHONE
Angalia specification zake kwenye box kama umenunua IPhone ikiwa na box lake litakunyesha model number,serial number na Imei. kila unachokiona kwenye box lazima kiendane na ndani ya simu ingia setting >> kisha general >> about kama utaona ziko tofaut na box ujue simu yako ni feki.

Kwa kutumia Online
kama umenunua simu kwa mtu basi tumia njia hii kuweza kujua kama simu yako ni original au clone fanya hivi ingia setting >> general >> about kisha copy mahali alafu washa data ingia kwenye browser yako kisha andika
checkcoverage.apple.com
utaulizwa kuandika serial number na verify code. kisha bonyeza continue kama utaona imeandika invalid jua simu yako ni fake.

njia nyingine ni hii bonyeza ##786# kwenye IPhone yako kisha >> chagua view option itakupeleka kwenye reconditioned status. kama itakuandikia Yes ikiwa na maana simu yako ni refurbished kama otherwise itaandika No.

pia unaweza kuingia hapa
IMEIpro - free IMEI number check service utandika imei yako ya IPhone maan kila imei namba ina unique namb qmbazo aziwez kufanana na mtu mwingine kama imei namb ikonyesha tofaut na model namb ya simu jua ni fake

ANDROID
kwa watumiaji wa android piga *#06# kupata imei au ingia setting ya simu yako kisha about device/ system >> status utapata imei namba

ingia kwenye ingia google kisha andika imei.info andika imei yako hapa utapata kujua kha simu yako fake au original.

ni muhimu kuijua simu yako kabla ujanunua kwa mtu au dukani kuanzia muonekano , feature zake kuanzia android version, rangi ya simu, camera,uwezo ake wa kuhifadhi, ufanyaji kazi wake kila kitu utakikuta Google .


Kwa maujanja mbalimbali kuhusu simu kompyuta apps games software matatizo pamoja na suluhisho zake karibu kwenye page yetu instagram

Bongotech255 tujifunze
 
WATU DUNIANI
simu fake=ni simu ambayo haijatengenezwa na kampuni husika,hivyo haina ubora,ufanisi,na haina thamani yeyote ya pesa maana kila kitu chake sio chenyewe.

TCRA na MLETA MADA
simu fake=ni ile simu ambayo imei,serial namba yake haitambuliki na haisomi utambulisho wa simu husika kwenye data zao.

mwisho tukazifungia s8plus samsung,na kuacha simu kama butterfly sokoni
 
IMG_9862.jpg

Wale wazee wa apple
 
Back
Top Bottom