Jamani hii OTEAS mbona majanga, nimemfanyia mtu application nikamaliza vizuri, yeye ana degree nashangaa tena kwenye kupreview naona kuna attachment ya Grade A certificate kwamba ni miongoni mwa attachment nilizoweka wakati hata pale kwenye orodha yao ya vitu vya kuattach hicho kitu hakipo sasa hii inatoka wapi tena?. Pia Transcript nimeattach nikaambiwa imekuwa successfully uploaded lkn kwenye preview siioni!!
Mkuu sasa wewe una attach vipi trascript sehemu ya oath certificate...wewe hapo subiri warekebishe system uta upload transcript sehemu husikaMkuu mi Leo nimemaliza application, ila inabidi utumie internet yenye speed ndio utafanikiwa ijapo nimetumia Siku nzima ya Leo. Pia transcript uki upload inakubali ila ukiangalia kwenye application report haitokei, so nilichokifanya nimeattach transcript kwenye sehemu ya oath certificate na imetokea
Hawatarekebisha hao mkuu, siku wakiziprint hizo dicument watakutana na transcriptMkuu sasa wewe una attach vipi trascript sehemu ya oath certificate...wewe hapo subiri warekebishe system uta upload transcript sehemu husika
Mfumo haufanyi kazi kama hivyo unavyodhania...kila la kheriHawatarekebisha hao mkuu, siku wakiziprint hizo dicument watakutana na transcript
Amani naiwe kwenu.
Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment, kila nikijaribu ku-upload attachment ina-load tu bila kumaliza. Niki-view application naona taarifa zote kasoro attachment tu.Please naomba msaada wa yeyote ambaye ameshawahi kufanikiwa kufanya application na namna alivyofanikiwa hasa kwenye ku-upload attachment.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Dah wazee mziki bado mneneHAKUNA NAMNA HATA UKIAMKA USIKU WA MANANE! MIMI JAMAA YANGU ANA SIKU YA 4 LEO HAJAMALIZA KUJAZA! JAMBO LA AJABU SASA USIKU SYSTEM INAKUWA KIMEO KABISA! ILIFUNGA SIKU MOJA TU USIKU, AFTER ALL HUWEZI TENA KUIPATA MARA UTAONA KA NOTIFICATION HAKA "BAD GATE WAY"
Dah wazee mziki bado mnene
Ndo hvoLAKINI UTAAMBIWA WATU 6000 WAMEPANGIWA VITUO
Upload tena.Mimi nime upload document ambalo siyo nifanyeje maana hamna Pa kuedit
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Transcript ukiupload inaleta Grade A certificate kwenye report previewJAMAN NAOMBA KUJUA NAMNA YA KUFUTA GRADE A MAANA MIM NILIKUWA NA UPLOAD TRANS NA LETTER SASA HAPO SIJUI ITAKUWA NI KIPI YA HIVYO VIWILI.
Ni
Ni Transcript ukiupload inaleta Grade A certificate kwenye report preview
Hakuna, hilo tatizo ni kwa system yao wenyewe, hata ukirudia ku-upload ina leta hivo hivo tu.DAAAH NI HATARI NA HAPO HAKUNA OPTION YA KUBADILI HILO JINA
Hakuna, hilo tatizo ni kwa system yao wenyewe, hata ukirudia ku-upload ina leta hivo hivo tu.DAAAH NI HATARI NA HAPO HAKUNA OPTION YA KUBADILI HILO JINA
Hata mimi imetokea hivyo nimeattach Transcrip ikatokea GRAD A sijui ni niniNi
Ni Transcript ukiupload inaleta Grade A certificate kwenye report preview
Ni system yao, maana kila mtu akiupload transcript inaandika grade A certificate em tuone labda watasolve hilo tatizo.Hata mimi imetokea hivyo nimeattach Transcrip ikatokea GRAD A sijui ni nini
Aisee nimevurugwa kwel wakat nina uhakika sikuapload grad A. WATAALAM WATUSAIDIE
Sent using Jamii Forums mobile app