Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
your university reg #Msaada hapa kwenye academic qualification kuna mahala pameandikwa admission number, naomba kifahamishwa najaza nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo, tunaattach.daaah cjapata kuona u slow wa huu mtandao,toka saa 3 ucku hadi saiz cjafanikiwa kuupload hata chet,
naomben kuuliza na barua tuna attach?
Mimi vimekubali viwili tu.sawa,vip wew umefanikiwa ku upload vyeti? maana hapo ndo mziki ulipo,mwenye ujuz atujuze jamani
Mimi vimekubali viwili tu.
umeattach copy au? kama scanned ya original ya vyeti umeshakosa
Hv barua ni lazma jamanJaribu usiku sana. Mtandao unazidiwa ndugu
Vp slp mbona haipatkan