Msaada tutani: Software ya kupunguza ukubwa wa picha to 4 kb

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,830
4,727
Habari wakuu... natitaji kufahamu software itakayo nisaidia kupunguza ukubwa wa picha (passport size) mpaka kufikia 4 kb.... Ntatumia digital camera kupiga then nahitaji kuzipunguza zaidi... naombeni mnisaidie jina la software itakayoniwezesha kufanikisha zoezi hili....NB Quality isipungue sana.
 
nani kakwambia inawezekana?

ili picha iende hadi 4kb quality itapungua sana na resolution itakuwa ndogo sana mpaka kuwa kama icon.

mfano wa pic ya 4kb

beck.png
 
Ndio, quality inapungua na resolution pia. Huyu jamaa atakuwa anafanya kazi ya picha za watahiniwa wa K2 au K4 na hizo ndo requirements za NECTA kuhusu mugshots. Inawezekana kabisa, kwa kuondoa metadata zote na baada ya kupunguza resolution
 
Nimeifikisha 7 kb kwakutumia Format Factory but maelekezo yanataka 4 kb

Yes ni hiyo kazi mkuu... kuna software gani naweza itumia ikanisaidia?
 
eka sample tuone hizo expectation zako. eka hata sample ya picha nyengine tu tofauti na za kazi pia ni vyema ukaeka picha original na hio ya kb7
 
Sijuti unaweza kutumia IrfanView, kisha pakua plugin inayoitwa "Riot"
1. Fungua IrfanView
2. File --> Batch conversion/rename
3. Dialog ikifunguka chagua picha zako kisha "add"
4. Nenda kwenye Output format, click Options, uncheck kila kitu pale halafu kwenye Set file size weka 4.00 (bila RIOT plugin haitakubali!). Click ok
Kisha anza conversion
 
Hiyo size ni ndogo sana hauwezi kupata picha ya passport size inayoonekana. Angalia mfano picha ya kwanza ni kama 30 KB ya pili imepunguzwa hadi 6KB. Hapa nimetumia software ya Paint.Net ni ya bure ukifanya Save As.. jpg unapata option ya kuchagua compresion level. Paint.NET - Free Software for Digital Photo Editing

Passportsizephoto3.jpg

Passportsizephoto2.jpg
 
Hiyo size ni ndogo sana hauwezi kupata picha ya passport size inayoonekana. Angalia mfano picha ya kwanza ni kama 30 KB ya pili imepunguzwa hadi 6KB. Hapa nimetumia software ya Paint.Net ni ya bure ukifanya Save As.. jpg unapata option ya kuchagua compresion level. Paint.NET - Free Software for Digital Photo Editing

View attachment 327718
View attachment 327719
Ipe hiyo original picture
-res ya 72px
-132 x 185px
-ondoa metadata zote (exif na matakataka kama hayo)
Inafanyika sana hiyo mkuu, NECTA format inadai hivyo na ni possible kabisa. I have been doing it for some four years no prob
 
kama resolution ni hio seems kb 4 pia ni luxury hapa nimetoka hadi kilobyte 2 tu

1m4Myrs.jpg
 
tumia ushauri wa Gurta hapo juu.hata mimi nilitaka kukupa hiyo njia..irfanview ndo jibu la tatizo lako
 
Ipe hiyo original picture
-res ya 72px
-132 x 185px
-ondoa metadata zote (exif na matakataka kama hayo)
Inafanyika sana hiyo mkuu, NECTA format inadai hivyo na ni possible kabisa. I have been doing it for some four years no prob
Dah 72 dpi? Na hizi picha zinaenda kuwa printed?
 
Yap. Zinatoka hovyo sana lakini zinakidhi mahitaji. Vinginevyo ingewapasa NECTA kuwa na seva kubwa sana, imagine over 400K candidates wa CSEE, 500+K wa FTNA
 
Picha millioni moja za 100KB kwa mahesabu yangu ni 100GB tu sio nyingi katika ulimwengu wa sasa, sasa picha hizi ambazo hauwezi kumtambua mtu zinakuwa zinapoteza maana yake.
 
Yap. Zinatoka hovyo sana lakini zinakidhi mahitaji. Vinginevyo ingewapasa NECTA kuwa na seva kubwa sana, imagine over 400K candidates wa CSEE, 500+K wa FTNA
I don't think hardware ie server is the issue here.. It is memory.
Memory is cheap nowadays.
With <200$ you can get 2TB server drive which is more than enough for pictures of more than 20 yrs.
Kudos to Kang for showing it.
Labda kuna sinto fahamu nyingine.
 
Ipe hiyo original picture
-res ya 72px
-132 x 185px
-ondoa metadata zote (exif na matakataka kama hayo)
Inafanyika sana hiyo mkuu, NECTA format inadai hivyo na ni possible kabisa. I have been doing it for some four years no prob
Swali sambamba na mada.

Je huwa unatumia njia gani (Program ipi) ku_print PHOTO ENTRY FORM?

Ikiwa na picha za watahiniwa, Index number, Jina , Jinsi (KE/Me) na mahala pa Kusaini.

Zikiwa zimejipanga vyema kwenye karatasi ya A4
 
Publisher
 
Habari wakuu... natitaji kufahamu software itakayo nisaidia kupunguza ukubwa wa picha (passport size) mpaka kufikia 4 kb.... Ntatumia digital camera kupiga then nahitaji kuzipunguza zaidi... naombeni mnisaidie jina la software itakayoniwezesha kufanikisha zoezi hili....NB Quality isipungue sana.
Habari wakuu... natitaji kufahamu software itakayo nisaidia kupunguza ukubwa wa picha (passport size) mpaka kufikia 4 kb.... Ntatumia digital camera kupiga then nahitaji kuzipunguza zaidi... naombeni mnisaidie jina la software itakayoniwezesha kufanikisha zoezi hili....NB Quality isipungue sana.
Habari wakuu... natitaji kufahamu software itakayo nisaidia kupunguza ukubwa wa picha (passport size) mpaka kufikia 4 kb.... Ntatumia digital camera kupiga then nahitaji kuzipunguza zaidi... naombeni mnisaidie jina la software itakayoniwezesha kufanikisha zoezi hili....NB Quality isipungue sana.
 
Kaka pole sana ,waswahili wanasema jambo usilolijua ni kama usiku wa giza .Ila majibu ya kuka kitu yapo sema tu mtu kwa wakati huo anakuwa hajui.
Kaka google download software inaitwa photo filter itazipeleka hizo pp size mpaka less than 4 kb yaani ni ww tu ndo.utaamua iwe size ipi.Hata ukitaka itaoeleka one kb.Pia utarise width na heightkama unavyotaka.Ila shida moja ni kwamba kila pp size utaifanya moja moja haizifanyi zote kwa pamoja.
Tatizo lingine utakalokutana nalo ni wakati wa kuprint,hapoinabidi uzi highlight zote kisha unashuka unachakua kuziprint kama contack sheet Hapo utaona tu option ,kuna option ya kuanzia kuprintpicha moja,mbili,nne hadi nyingi zaidi kwenye page moja.
Ila tatizo lingine ambalo ninakutana nalo lazima iwe ni win xp hiyo ndo itaprint hizo pp size na majina yakiwa chiniIla ukitumia win nyingine kama 7 ,8 n.k.Maandishi yatakuwa yanapishan na oocha either majinayako chini ila pp size zimelala.au pp size zimesimama na majina yako pembeni kulia.Hivo haoa tumia win xpMm nadhani hi kwa sababu win xp ina picture print wizard.
kwa kushare experience zaidi naomba ni pm.
 
Back
Top Bottom