Msaada: Tumetapeliwa!

Msaada: Tumetapeliwa!

Umewaza Kama mimi mkuu, pole kwa familia ya mshkaji waliopoteza mpunga mrefu maana account mbili sio mchezo
khaaaaa...
Kila kukicha watu wanakuja na njia mpya...
Hao watu wawili waliokua pembeni, ni team moja walipangana tuu,

Ukiona mtu anakutangazia fursa halaf from nowhere tuu anatokea mtu anadakia, kimbia...

Japo pia hili suala ukizingatia security ya Bank na mitandao ya simu, basi Inatakiwa uwe na imani kubwa sana kutofikiria nje ya boks, ubaki hapo hapo kwa huyo wakala,

Ngoja na mimi niingie ndani ya 18 Nisije onekana mchawi.

Poleni sanaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo matatu
1.Mosi mkeo alitoa password bila kujua
2.Mkeo password yake Ni mwaka au tar ya kuzaliwa..mwizi aliomba kitambulisho
3.Simu ya mkeo inaandika maneno kwa ku guess (simu nyingi zinafanya hii)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ni mtu asiyejitambua no wonder anaibiwa na mke wake. Yaani watu wanampa ushauri yeye hata kujibu post moja! Ovyo kabisa
Samahani sana mkuu kwa kukukwaza, nilikuwa na tight schedule to the extent sikupata muda wa kutulia na kupitia replies.

Nipende tu kukuhakikishia kwamba ninajitambua, japo inaweza kuwa sio kwa kiwango unachokihitaji, but angalau ninajitahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee! Pole kamanda ila hao mawakala wa barabarani, asilimia kubwa ni matapeli
Asante sana mkuu. Nilikuwa ninasikia haya mambo kwa wenzangu ninayapuuzia tu, nikidhani nipo kisiwani, sasa yamenigusa moja kwa moja nimeamini kuwa yapo na umakini unahitajika sana. I have learned the hard way!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo mjuzi sana wa upepelezi Ila mtu aliyeibiwa Kwa mshtuko hawezi kutuma sms kwanza ataanza kupiga na kama akituma sms hawezi kuweka emoj Kwa mshtuko alionao nisiingie ndani sana Ila kuwa mwangalifu labda kama mnaelot of money Ila kama za kubangaiza kama Sisi kuna walakini sehemu pole snaa mkuu
 
khaaaaa...
Kila kukicha watu wanakuja na njia mpya...
Hao watu wawili waliokua pembeni, ni team moja walipangana tuu,

Ukiona mtu anakutangazia fursa halaf from nowhere tuu anatokea mtu anadakia, kimbia...

Japo pia hili suala ukizingatia security ya Bank na mitandao ya simu, basi Inatakiwa uwe na imani kubwa sana kutofikiria nje ya boks, ubaki hapo hapo kwa huyo wakala,

Ngoja na mimi niingie ndani ya 18 Nisije onekana mchawi.

Poleni sanaa..
Hii mambo inachanganya sana mkuu. Huu ni wizi wa kiwango cha juu sana. Japo nafsi yangu inaniambia ni Organized Crime lakini upande mwingine unanitaka nimpe credit Mr. Wakala kwa kuwa na Advanced IT Expertise.

All in all hii issue imeexpose sana mifumo ya kifedha nchini. Fedha zetu hazipo salama anymore!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom