Msaada: Tumetapeliwa!

Bado Huyo wakala anaweza kupatikana akatuelekeza vizuri utapeli alianza lini?!!
 
Mkuu inaonekana wewe na mkeo wote uwezo wenu wa kufikiri hautofautiani...sababu mkeo kadanganywa kijinga mpaka katoa password za bank,so kaona kwa kuwa mme wake uwezo wa kufikiri mnafanana nayeye kakudanganya na wewe umekubali...na huenda huyo kibaka angekukuta wewe na mkeo angewadanganya wote mumpe password za bank na mngempa kweli pasipo kufahamu...mkuu usiwe mrahisi hivyo...haiwezekani,haiwezekani,haiwezekani mtu kukuibia salio kweny account ya bank pasipo kujua password...narudia tena haiwezekani,sorry kwa comment yangu nimeandika nikiwa na ghadhabu sana...na kilichonipa ghadhabu ni kwanini wewe unadanganywa na unaingia kingi kirahc,kutapeliwa kwa watoto wa kike ni kitu cha kawaida..ilitakiwa akuelekeze tu nini kilichotokea but sio kukudanganya hivyo ili aonekane sio mshamba wakati kapigwa kishamba sana
 
"Once you eliminate the impossible, whatever remains, no matter how improbable ,must be the truth"
~Arthur Conan Doyle~

《Caprichar o teu sorriso》
 
Umeongea ukweli mkuu, ndiyo maana kama umejiunga na simbanking ya aina yeyote kila mara bank husika wanasisitiza kutokutoa taarifa za password kwa mtu yeyote. Tatizo la watu huwa wanachukulia poa sana,huku wengine password zao ni rahisi sana,mfano mtu kuweka mwaka wa kuzaliwa au ziro nne n.k
 
Hawa wezi wa namna hiyo wapo toka alivyofanyiwa mtu ninayemjua miaka mitano nyuma, wamesoma hao usicheze nao
 
Wee jamaa siye kweli, watu wanaongelea technology we unaongelea ramli kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama amesajiliwa NIDA mbona taarifa zake na za wazazi wake na alikozaliwa zipo. Hata mjumbe wake anajulikana. Aende polisi wataenda nida atakamatwa Kama kuku wa kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida wanaosajili hao wanaotembea, wanakusajilia wakimaliza kila kitu wanakuambia kunasehemu kakosea anaanza upya kukusajili, kwahiyo anasajili mbili laini nyingine inauzwa kwa hela nyingi tu kwa matapeli, halafu laini zilizofungwa kuna mtu alikamatwa kazi yake kuzifungua kwa hiyo bado kuna kazi
 
Unamuamini vipi wakala wa barabarani tena mtembea kwa miguu hana ofisi afu unampa simu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, haya mambo yasikie kwa jirani tu. Tena hawa wake zetu wanavyojua kuamini watu kirahisi, tuombe Mungu tu.

But all in all huwezi jua siku utakayoingizwa King coz pamoja na utata wangu nilishawahi pigwa hela kifala sana. Lakini yote maisha. Omba Mungu yasikukute (wewe au mtu wako wa karibu).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu dunia kubwa hii acha ubishi asee .
Mimi story ya huyo jamaa haijanistua kwa mana Nina Uncle wangu nae kapigwa 2.5M mwaka huu mwezi January kwa style hyo hiyo.
 
NEXT LEVEL-CRIME NAMPA SALUTE HUYO MWAMBA KUBLOCK ACCESS ZOTE HIZO NA KUCHUKUA PESA KIRAHIS..PIA POLE SANA MKUU.

TUWE NA SUBIRA ATAKUJA MJUZI MDA SIO MREFU KUELEZA JINSI ALIVO FANYA FANYA MPKA AKAFANIKIWA KUIBA HIZO HELA.
Mwamba noma sana mkuu. Shukrani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo lugha alotumia mkeo Anza nae huyo huenda anakuchora.ni ngumu Sana kwa namna ulivyielezea kuwa wakala wa Tigo atakuwa anahusika.
 
Hakuna kitu kama hicho
 
Simulia mkuu tujifunze
 
OK. Mkuu hili ni la kizembe. Sioni tahadhari yoyote uliyochukuwa. Ungemwambia alete mzigo ukiuona ndiyo umkabidhi cash. Na zaidi..... kujiepusha na utapeli siku zote epuka rahisi au short cut.
 
Ina maana hakupita serikali za mitaa na uhamiaji? Hata Kama jina fake nida walipiga picha. Je na picha itakuwa fake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uko nchi hii kweli? Utaratibu wa sasa ukisha provide nida id number hakuna tena swala la kupigwa picha bali una verify kwa fingerprints tu na iyo nida Number ndo imebaba particulars zako zote mpaka mapicha yako,ivo hio line inayotumika kutapeli una sajili wewe mwenyewe bila kujua na inaenda kuuzwa kwa bei kama huamini kutana na wakala hawa wanaotembea muambie sina ID umsikie, Bongo we have long journey yani Elimu elimu elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…