Msaada: Timberland boot zinasafishwaje?

Msaada: Timberland boot zinasafishwaje?

Nenda uliponunua kuna dawa ya kusafishia au kuna kidubwasha kama ufutio ule wa penseli ndio unautumia kusafishia

PC010_000.jpg

PC012_000_alt1.jpg
Nimetumiwa from uingereza icho kidude siwezi kukipata
 
Haaa Zile Mchina noma Ila original tulikuwa tunaliita BUYU.


Timbz nakumbuka Kuna jamaa alinunua kwa jiwe moja mwaka 2004.
Wakati unaandika Uzi huu original zilikuwapo pale IT Plaza mjini Posta Dar.
Kuna duka wanauza madundo ya maana. Ngozi OG tupu.
Bei zao chafu, zinagonga kuanzia 70K, hadi jiwe kadhaa. Hiyo Timbz itakuwa 100K hadi 150K.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom