Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,560
๐๐๐๐pale la 4C nilizungusha duara nikashindwa kwenda la 5,ikabidi niache shule kabisa sasa kale kale knowledge nimejaribu kuaapply hapa naona kama jamaa hakuwa na mchele kabisa๐๐๐๐๐
We kweli madenge.Anyway ushawahi kufanya swali ukicheki raia majibu yanaendana ila wewe ndo kwanza jibu lako hata robo halifanani hadi unaanza kuhakikisha kama swali ulofanya ndo lenyewe