Msaada swali la hisabati

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
We kweli madenge.Anyway ushawahi kufanya swali ukicheki raia majibu yanaendana ila wewe ndo kwanza jibu lako hata robo halifanani hadi unaanza kuhakikisha kama swali ulofanya ndo lenyewe
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚pale la 4C nilizungusha duara nikashindwa kwenda la 5,ikabidi niache shule kabisa sasa kale kale knowledge nimejaribu kuaapply hapa naona kama jamaa hakuwa na mchele kabisa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚pale la 4C nilizungusha duara nikashindwa kwenda la 5,ikabidi niache shule kabisa sasa kale kale knowledge nimejaribu kuaapply hapa naona kama jamaa hakuwa na mchele kabisa
aya sawa mkuu ila mi mpaka leo sijaona msaada wa hizo mahesabu huku kitaa.
 
Hesabu za shule mlikuwa mnafeli hii ya mchele mnajiona wajanja sana...kilaza atabaki kuwa kilaza

Sent using Samsung s10
 
Naomba niunge mkono hili jibu la kuwa na kilogram 120.

Nafafanua:

Let X = kilo alizokuwa nazo.

Akala ยผ ya kilo zote alizokuwa nazo = ยผX

Baada ya kula akabakiwa na:

X - ยผX = ยพX

Akauza โ…“ ya kilo zilizobaki baada ya kula:

โ…“ ร— ยพX = ร—/4(aliuza)

Baada ya kuuza akabakiwa na kilo 60.

Sasa angalia huu msawazo:

Jumla ya kilo = kilo alizokula + kilo alizouza + Kilo zilizobaki

X = X/4 + X/4 + 60

Tunakokotoa huo msawazo juu.

X = X/2 + 60

X - X/2 = 60

ยฝX = 60

X = 120

Kwa hiyo alikuwa na Kilogram 120
 
Back
Top Bottom