Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Utafikiri ulikuwa kwenye akili yangu wana misimamo ya ajabuu kweli haina mbele wala nyumaKanda ya ziwa

Utafikiri ulikuwa kwenye akili yangu wana misimamo ya ajabuu kweli haina mbele wala nyuma
Uko sahihi Mimi hata ushauri wa wanaume siutakagi.Habari zenu wana JF I hope Eid yenu imeenda poa,
Mimi nina tatizo moja yaani siwezi kushauriwa kitu na mwanamke hata kama nimekosea nakuwa too harsh naona kama kanidharau.
Yaani inshort mimi mwanamke hawezi mnishauri kitu nikamsikiliza hata akinambia tuu jambo namkubalia ila sitekelezi na sio kama siwapendi ni hali ambayo inatokega automatically.
Wakuu hii hali imenisababisha nishindwe kabisa kudumu kwenye mahusiano hii hali sipendi naomba msaada niweze kuwaacha na niache kudharau wanawake jamani naichukia hii hali.
usijipe presha, hiyo ni dalili ya kupenda wenzako wa jinsia moja. Isikuumize sana kichwa, we achana tu na wanawake uwe unatoka na wanaume wenzako utawasujudu kinoma.
tuheshimiane mkuuPole ila ilo ni tatizo walilonalo wanaume wengi japo hawatakubali,ila kwakua unejitambua Mungu akufanyie wepesi uwe sawa..Habari zenu wana JF I hope Eid yenu imeenda poa,