Msaada: Sipendi kushauriwa na mwanamke

Msaada: Sipendi kushauriwa na mwanamke

Naona assists zako zimengezeka mnoo baada ya kukuuliza kulikoni Ukuth? Mbona una mkono wa birika hivyo? Nadhani bado unakumbuka.
Usijali mim na wew tutamalizan kesho sietiee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jifunze kuwa karibu na ibada hasa kanisani na mafundisho yake au hata ukijiunga kwaya itakusaidia kama we ni mkristo islamik pia hivohivo utaepukana na ubabe utakuwa na hofu ya Mungu juu yako hivyo utaweza kuwaheshimu na kuwasikiliza
Asante mkuu am Christianity
 
Ok fanya hivyo kaka Mungu atakuongoza sana na utaona nguvu ya ushauri ya mwanamke kuanzia hapo kanisani mpaka nyumbani na utaona umhimu wa mama pia alivyokulea na kumpa ushauri baba akakusomesha mpaka ukafika umri ulio nao bila wanawake wanaume hatuwezi kitu ndiyo maana Mungu alimletea Adamu mke wa kumshauri iwe kwa zuri au baya lkn ni ushauri tu yatupasa kuwasikiliza mkuu
 
Habari zenu wana Jf I hope eid yenu imeenda poa

Mimi Nina tatizo moja yaani siwezi kushauriwa kitu na mwanamke ata kama nimekosea nakua too harsh naona kama kanidharau

Yaani inshort Mimi mwanamke hawezi mishauri kitu nikamskiliza ata akinambia tuu jambo namkubalia Ila sitekelezi na sio kama siwapendi ni hali ambayo inatokega automatically

Wakuu hii hali imenisababisha nishindwe kabisa kudumu kwenye mahusiano hii hali sipendi naomba msaada niweze kuwacha na niache kudharau wanawake jamani naichukia hii hali.
Hilo ni Pepo LA Mfumo Dume
 
Let me guess- huenda unafanya hivyo sababu unajali atakuona aje ukimtii au atakudharau ukimtii. Ni sio automatic ila ni hali uliyoitengeneza akili huenda bila kujua na ni sababu uko negative, ukitaka kubadilika anzia akilini kwako, badili jinsi yako ya kufikiri juu ya mwanamke na ujilazimishe kutenda vitu positive utafanikiwa na ufikiri kuwa ukimtii mwanamke hawezi kukuona kama jinsi unavyojihisi. Be a gentleman!!
 
Habari zenu wana Jf I hope eid yenu imeenda poa

Mimi Nina tatizo moja yaani siwezi kushauriwa kitu na mwanamke ata kama nimekosea nakua too harsh naona kama kanidharau

Yaani inshort Mimi mwanamke hawezi mishauri kitu nikamskiliza ata akinambia tuu jambo namkubalia Ila sitekelezi na sio kama siwapendi ni hali ambayo inatokega automatically

Wakuu hii hali imenisababisha nishindwe kabisa kudumu kwenye mahusiano hii hali sipendi naomba msaada niweze kuwacha na niache kudharau wanawake jamani naichukia hii hali.

usijipe presha, hiyo ni dalili ya kupenda wenzako wa jinsia moja. Isikuumize sana kichwa, we achana tu na wanawake uwe unatoka na wanaume wenzako utawasujudu kinoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom