Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Mbona kama umeshajaliwa kuvuka changamoto za maisha ya kijana na mwanaume kwa 50%
Kwangu mimi maisha yangekuwa bomba sana kama kusinge kuwa na kitu kinachoitwa ngono.
Ila ndio hivyo tunasimamisha hamna namna ya kutekeleza matakwa ya huyo mjomba japo inagarimu si kidogo
 
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Umeoa?
 
Hii imekaa vizuri Hadi nimemeza mate!!!aiseh wewe konki!!!
 
Kama inasimama unapojichua hilo siyo tatizo la nguvu za kiume!

Porojo nyingi za wauza "mikuyati" mitandaoni zimewapotezea confidence vijana na kuhisi wana shida.
 
Sijajua huenda hiyo unaipata kwa tabu sana, lakini hiyo haiendani na uhalisia wa kitabibu.
 
Mi nataka tu mdada bila dawa ni shilingi ngapi?
 
Pole sana mdogo wangu, kwanza kabisa chondechonde acha kabisa kunywa hizo dawa za mitishamba , nyingi hazijapimwa na zinaweza kuwa zinaharibu mishipa yako ya damu au kudhuru figo na ini, ndio maana unaona tatizo linazidi kuwa kubwa, tatizo lako la uume kushindwa kusimama asubuhi ni ishara ya wazi kabisa kwamba mzunguko wako wa damu hauelekei huko chini vizuri.

Usije ukafikiria mambo ya kichawi wala nuksi, ni swala la kawaida tu la kibaolojia ambalo daktari anaweza kulisuluhisha.Ushauri wangu tafadhali nenda hospitali kubwa ukaonane na daktari ,ukipata daktari wa mfumo wa mkojo na uzazi/Urologist itakuwa vizuri zaidi. Mwambie akupime kiwango cha sukari mwilini, msukumo wa damu, na kiwango cha homoni ya testosterone.

Tatizo lako linaweza kuwa linasababishwa na kitu kidogo sana kinachohitaji marekebisho ya kitabibu tu, pia, hebu chunguza mtindo wako wa maisha, unasumbuliwa na msongo wa mawazo au wasiwasi? Umewahi kujichua? Kama ndiyo, je ulijichua kwa muda gani? Huwa unafanya mazoezi? Unalala vizuri?

Nikushauri pia mazoezi kama kukimbia, kupiga pushups, au kuruka kamba iwe ni sehemu ya maisha yako ili kuamsha mzunguko wa damu, kula vizuri vyakula vya asili, na uwe unapata muda wa kupumzika vizuri. Utapona kabisa mdogo wangu, fanya mpango wa kwenda hospitali kwanza.
 
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu

Hakunaga Dawa za Nguvu za kiume kijana. Acha kuchezea afya na maisha yako.

Kula vizuri.
Vyakula vya umri wako.
Protein iwe ya kutosha,
Mbogamboga,
Wanga kidogo tena Dona.
Na matunda.
Maji kulingana na umri na kilo zako.

Pumzika vyakutosha.
Usipige Nyeto.

Ukiwa na genye jizuie. Hifadhi nguvu. Ifunze akili kudhibiti nyege zako.

Fanya kazi au mazoezi ya pumzi na moyo.

Hivyo tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…