Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 681
- 126
Watu hawajashtukia elimu ya Ufini bure,kimbembe kinakuja uwe na Euro 6000 uiweke katika benki zao(?) kama hela ya matumizi.Nenda http://www.jyu.fi/econ/en/current/pinstripes
Hii University ipo hapa Finland, na tuition ni bure. Kama ukichaguliwa unatakiwa nauli ya kukufikisha hapa na kuonyesha kuwa utaweza kujitunza, basi!
Wakubwa
kwakuwa fani yangu ni sanaa
nadhani kuna member anazo infos za programme za sanaa abroad maana nchini humu hakuna skolaship za art.
nazisaka kufa na kupona hivyo naomba msaada wenu
(still in fungate)
Thanks kitia.Kwa maelezo yako ni kipindi mwanafunzi huyo atakuwa tayari yuko Ufini,mfano sasa mtu yuko tanzania na kapata chuo huko na najua ili kupata Visa inabidi uonyeshe bank statement ya hiyo Euro 6000.Hapo ndio ngoma kwa watanzania na kuona ni ngumu kwao kuona kama elimu ie ya bure.Jibu Kwa Mtu na Mashoo: Kinachotakiwa ni kuonyesha proof of funds, sio lazima uwe nazo zako. Wanachofanya wanafunzi wengi huku ni kuchangiana, pesa zikitimia unaweka bank, halafu unaonyesha bank statement. Baada ya hapo unawarudishia waliokukopesha pesa zao. Halafu pia njia nyingine kama utaonyesha ushahidi kuwa unafanya kazi kwa kuonyesha pay slips za mishahara, hizo zinakubalika pia. Hizo shule nyingi hufundisha kwa kiingereza. Ni wengi tu wamesoma na kupata Ph.D zao hapa.