Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 681
- 132
wakuu habarini za asubuhi? natumaini mko poa kaisa. EE bwana wana JF naombeni msaada wa informations. Naombeni kama kunamtu yeyote mwenye taarifa za namna ya kupata scholarship ya MA iwe kule nyumbani Tz au nnje ya nchi naomba anisaidie. Scholarship yenyewe ikiwa ya Uchumi releted itakuwa bomba sana. Nitashukuru sana wakuu.