Natafuta kazi yoyote

phau60

Member
Jan 2, 2023
46
88
Habarini ndugu wana jf.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21,elimu yangu ni form 2.Sikuweza kumaliza shule kwa sababu maisha ya nyumbani sio mazuri familia yetu ni ya mama mmoja na watoto watatu wa kiume na mimi ni wa kwanza kuzaliwa.Ninaomba msaada wa kazi ya aina yoyote ndugu zanguni maana kwa upande wangu kila siku afadhali ya jana mfano leo tangu asubuhi nimetoka nyumbani (ninaishi na marafiki wa5 ghetto mwananyamala kisiwani ila kiasili baba mmakonde mama ni wa Tanga na siishi nao) alfajir kwenda kutafuta kazi masaki ila nimeambulia patupu na sijala tangu jana mchana hapa nilipo ni mawazo mabaya yananiandama naombeni mnisaidie mi ni mchapakaz mzuri tu shida kazi ndo sina.Nipo tayari kwa kazi yoyote na mwenyezi mungu awape wepesi wa mioyo natumaini kilio changu kitasikika amiina 0694925915
 
Nakuombea na nimekutumia nauli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom