Msaada kwa ajili ya kupata scholarships na kazi nchini canada, USA, Germany,Netherlands

Yasintajohn56

Member
Jul 26, 2022
25
47
Hi wana jamiii natumaini mko salama
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni Binti wa miaka 21 sasa ambaye nimeshidwa kumaliza degree yangu SAUT kwa sababu ya changamoto ya Ada na mahitajii mengine.
Ila naitaji msaada kwa mwenye uelewa wa (full funded scholarship) kwa nchi hizo hapo.
Mana nimepita baadhi ya ofisi za hapa Arusha awatoi moja kwa moja scholarship ambayo ni full funded. ila nimpaka uwe na sponsored atakae kulipia Ada na vitu vingine ila chuo watakupunguzia 50% ya Ada kwa Mimi sitaweza.
Lengo langu ni kwamba kwa mwenye uelewa wa full funded anisaidie muongozo wa kuapply nanivigezo gani napaswa kuwa navyo.
-Elimu ni high school
-combination HGK
-Nimemaliza 2020
Degree sijafanikiwa kumaliza
Lakini pia fursa za kazi kwa nchi kama canada mana naona baadhi kwenye YouTube wakizungumzia fursa za kazi canada, Qatar,na Portugal mwenye anaongezea madini tusaidiane mana hali ya sasa ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom