jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,142
- 8,664
Habari wandugu na wataalamu,
Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip?
Gari ni kwamba ukitembea kama km 8 inakuwa kama inakosa nguvu mpka uizime ikae baada ya kama dakika 10 then ukiiendesha inaenda vizuri ila ukifika tena kama km 20 hali inajirudia ile ile mpaka tena itulie.
Nilichokifanya nikanunua mswaki/half engine na gear box nikafanya service kwa kuweka kabisa cvt oil pamoja kuweka engine oil means service kwa ujumla.
Lakini mpaka mda huu tatizo bado liko pale pale maana mpaka linanikosesha amani maana engine iko safi na gear box pia iko safi msaada tafadhali.
gari ni passo racy engine twin cam 1290cc