Mafundi gereji muwe na huruma

Billion Dolar

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
1,260
2,865
Ni matumain yangu hamjambo.

Aisee juz nusra nikaange gari yangu maana nimetembea 200km na nusu lita ya engine oil.

Nligundua gari haipo sawa maana nikiwa napandisha mpando kulikuwa na muungurumo sio wa kawaida so nliupuuzia.

Basi bwana nimefika mwisho wa safari naona taa ya oil inawaka na kuzima ndo nikajua nimekausha oil.

Iko hivi nlienda gerej flan hizi classic nikapewa oil flan hivi ya kijan nikaambiwa inaenda km elf10. Basi nimekamua hadi elf 8 na ushee ndo mambo haya yakatokea kwa wiki huwa natembea almost 600km.
Kumbe oil ni ya 5000km.

Nikaweka lita moja nikampelekea fundi amwage wamenifanyia service fresh tu. Imefika kuweka oil nikamwwmbia natumia castro mineral oil nikijua anafaham namba ya oil, gari yangu inatumia 5W30, kuja kushtuka ameweka 20W50.

Nlivyocheki kopo lenyewe kama vile seal ni ya kunjunga nikajua nishapigwa na kitu kizito hapa maana castro seal yake huezi toa na vidole hata siku moja nliona katoa na vidole tu kirahis nahis washenzi waliniwekea foil ndo ikawa seal..

Laki nzima ikatembea kindezi nliondoka hapo nikafuta na namba ya fundi. Ikumbukwe huyu fundi alinipiga sega japo ni kwa hiari yangu aliniambia limeziba
 
Ni matumain yangu hamjambo.

Aisee juz nusra nikaange gari yangu maana nimetembea 200km na nusu lita ya engine oil...
Oil nunua mwenyewe kwenye maduka yanayoaminika pamoja na filter yake zen nenda kwa fundi ukiwa vitu vyako na usimamie show hadi amalize.

Acha kumtegemea fundi hasa kwenye ununuzi wa spare maana kuna baadhi yao sio waaminifu, wanajali pesa tu.
 
Ni matumain yangu hamjambo.

Aisee juz nusra nikaange gari yangu maana nimetembea 200km na nusu lita ya engine oil.

Nligundua gari haipo sawa maana nikiwa napandisha mpando kulikuwa na muungurumo sio wa kawaida so nliupuuzia.

Basi bwana nimefika mwisho wa safari naona taa ya oil inawaka na kuzima ndo nikajua nimekausha oil.

Iko hivi nlienda gerej flan hizi classic nikapewa oil flan hivi ya kijan nikaambiwa inaenda km elf10. Basi nimekamua hadi elf 8 na ushee ndo mambo haya yakatokea kwa wiki huwa natembea almost 600km.
Kumbe oil ni ya 5000km.

Nikaweka lita moja nikampelekea fundi amwage wamenifanyia service fresh tu. Imefika kuweka oil nikamwwmbia natumia castro mineral oil nikijua anafaham namba ya oil, gari yangu inatumia 5W30, kuja kushtuka ameweka 20W50.

Nlivyocheki kopo lenyewe kama vile seal ni ya kunjunga nikajua nishapigwa na kitu kizito hapa maana castro seal yake huezi toa na vidole hata siku moja nliona katoa na vidole tu kirahis nahis washenzi waliniwekea foil ndo ikawa seal..

Laki nzima ikatembea kindezi nliondoka hapo nikafuta na namba ya fundi. Ikumbukwe huyu fundi alinipiga sega japo ni kwa hiari yangu aliniambia limeziba
Ni vizur ukamuelekeza spec za vyote unavyo tumia na kusimamia kama vimekuja na ni OG. sio wote wamesomea ukumbuke wengi wamepata tu uzoefu wa kupiga pesa kupitia garage kisha wakafungua zao.

Natetea tu nilichosomea sitetei mtu.
 
Ni matumain yangu hamjambo.

Aisee juz nusra nikaange gari yangu maana nimetembea 200km na nusu lita ya engine oil.

Nligundua gari haipo sawa maana nikiwa napandisha mpando kulikuwa na muungurumo sio wa kawaida so nliupuuzia.

Basi bwana nimefika mwisho wa safari naona taa ya oil inawaka na kuzima ndo nikajua nimekausha oil.

Iko hivi nlienda gerej flan hizi classic nikapewa oil flan hivi ya kijan nikaambiwa inaenda km elf10. Basi nimekamua hadi elf 8 na ushee ndo mambo haya yakatokea kwa wiki huwa natembea almost 600km.
Kumbe oil ni ya 5000km.

Nikaweka lita moja nikampelekea fundi amwage wamenifanyia service fresh tu. Imefika kuweka oil nikamwwmbia natumia castro mineral oil nikijua anafaham namba ya oil, gari yangu inatumia 5W30, kuja kushtuka ameweka 20W50.

Nlivyocheki kopo lenyewe kama vile seal ni ya kunjunga nikajua nishapigwa na kitu kizito hapa maana castro seal yake huezi toa na vidole hata siku moja nliona katoa na vidole tu kirahis nahis washenzi waliniwekea foil ndo ikawa seal..

Laki nzima ikatembea kindezi nliondoka hapo nikafuta na namba ya fundi. Ikumbukwe huyu fundi alinipiga sega japo ni kwa hiari yangu aliniambia limeziba
Mzungu alikuwa na akili sana kuweka level sensor kwenye Oil na Coolant.

Maana the moment unawasha tu gari itakupa warning.

Huwezi uwa engine ya gari ya mzungu kwa kukosa oil au coolant labda kwa kutaka mwenyewe.
 
Mi fundi aliwahi chomoa lile boya la fan halafu akasahau kulirudishia. mzee baba natoka garage napiga mizunguko naona kitaa cha temp kimewaka nikasimama, nikaangalia coolant imepungua, kwa vile nilikua safarini nikaongeza maji mbioo tena kitaa kikawaka. Daah, Mungu si athumani sehemu niliposimama ile kuangalia angalia akatokea msamaria mwema hapo nishaweka maji tena. akaniambia hebu washa gari. Kuwasha fan halizunguki, nikamwambia litafunguka tu bado bado, subiriwee halizunguki. Ndio kuja kuchek naona waya unaninginia. Asee kuuchomeka gari ikawa sawa.
 
Vyote vinafanya kazi ndo vilionyesha imeisha
Hukunielewa, Gari ya kijapani haikuoneshi oil ikiwa imeisha.

Usijidanganye kwamba hiyo taa ikiwaka ndio oil imeisha la hasha. Hiyo taa tafsiri yake ni Low oil pressure.

Gari ya Kijerumani usingeweza kuendesha na Oil kidogo hivo hata kwa 1KM ingekuwa imeshakupa warning the moment unaiwasha tu.

Hivyohivyo kwa coolant.
 
Mimi juzi kati wametoa sterling rake og wameweka mtumba kimeo, sterling ngumu kama naendesha Fiat. Tena gerage reputable kosa nililofanya kuongea na mswahili kuumpa kisogo kwenda kutoa pesa. Nimerudi mara mbili bila permanent soln. Kwa kifupi natafuta pesa nirudi Kwa fundi wangu wa mtaa, ambaye huwa namsimamia one on one.
 
Yaani sio mafundi gerej mafundi wote pasua kichwa na ukienda kichwa kichwa unapigwa za,uso mpaka useme po.

Kuna jamaa aliuziwa nozel za noah laki 6, alafu anaenda gerej nyingine akaambiwa laki na nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom