dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,793
- 1,903
Heshima kwenu wanaJf, nategemea kuwa na project fulani kwa muda wa wiki mbili hivi karibu na mitaa ya Goba Dsm, hivyo ningependa kwa wenyeji wa huko wanijuze ni sehemu gani naweza pata hudumu ya nyumba ya wageni/hotel isiyozidi 30,000/Day.
Ningependa iwe sehemu yenye usalama na inayofikika kwa urahisi ikiwa nitatumia usafiri wa daladala.
Ningependa iwe sehemu yenye usalama na inayofikika kwa urahisi ikiwa nitatumia usafiri wa daladala.