Msaada nyumba ya kulala wageni maeneo ya Goba

Msaada nyumba ya kulala wageni maeneo ya Goba

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,923
Heshima kwenu wanaJf, nategemea kuwa na project fulani kwa muda wa wiki mbili hivi karibu na mitaa ya Goba Dsm, hivyo ningependa kwa wenyeji wa huko wanijuze ni sehemu gani naweza pata hudumu ya nyumba ya wageni/hotel isiyozidi 30,000/Day.
Ningependa iwe sehemu yenye usalama na inayofikika kwa urahisi ikiwa nitatumia usafiri wa daladala.
 
inafikika kwa urahisi ili hata mchepuko akiitwa asipotee 😀😀😀😀 joke
 
Nenda pale kwa Iddi pembeni ya ilipokuwa mfalanyaki,
 
Kuna sehemu inaitwa SAISAI hapo pana nyama tamu balaaa
 
Heshima kwenu wanaJf, nategemea kuwa na project fulani kwa muda wa wiki mbili hivi karibu na mitaa ya Goba Dsm, hivyo ningependa kwa wenyeji wa huko wanijuze ni sehemu gani naweza pata hudumu ya nyumba ya wageni/hotel isiyozidi 30,000/Day.
Ningependa iwe sehemu yenye usalama na inayofikika kwa urahisi ikiwa nitatumia usafiri wa daladala.
Mkuu njoo PM mitaa ya Goba ndiyo mitaa yangu hiyo,ukifika Goba centre kuna nyumba ya wageni inaitwa Mwamuyami iko opp na Police post Goba sehemu salama kabisa ni dakika moja toka stand,kuna nyingine inaitwa Leopard hii iko maeneo yanaitwa njia panda ni jirani na hii Club inaitwa Lastanza bei zake ni affordable about 20-30 na nyingine nyingi tu zipo.
 
Dah - naangalia tu jinsi watu wanavyotaja sehemu za "Machinjio" za GOBA ...... JF kuna watu wabaya sana.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom