Msaada: Nitapata wapi Ndulele maeneo ya Dar

amita bacha

Senior Member
Mar 10, 2017
180
411
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.

Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.

Ndulele ndulele
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.

Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.

Ndulele ndulele
Utakua chalii wa kaskazini.
 
Mkuu daa,yani nilipo ss naziona.Nipo shamba nimevua shati napalilia mahindi mixer na karanga.Mandulele kibao, sijui nikutumie kwa bus
 
Mkuu daa,yani nilipo ss naziona.Nipo shamba nimevua shati napalilia mahindi mixer na karanga.Mandulele kibao, sijui nikutumie kwa bus
Mkuu dah nazihitaji kinoma sababu ya jino

Kuna jino nataka niisafishe niliwahi mapema kabla halijaleta madhara ..mkoa gani upo kwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom