amita bacha
Senior Member
- Mar 10, 2017
- 180
- 411
- Thread starter
- #61
Mashamba nitayapata wapi mjini johNenda shambani
Mashamba nitayapata wapi mjini johNenda shambani
Mi ninazo ni pm uje uchumeKama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.
Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.
Ndulele ndulele
Asante sana kiongoziMi ninazo ni pm uje uchume
Ndula inaliwa kwetu hupikwa zile changa kama zinavyo pikwa nyanya chunguSio kweli mkuu, Nyanya chungu inaliwa lakini ndula hailiwi
Nenda Pugu wanakoshushia ng'ombe kutoka mikoani. Huko huwezi ukakosa maana ndulele hupenda maeneo ambayo yako na msongamano wa mifugo!!Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.
Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.
Ndulele ndulele