Msaada: Nitapata wapi Ndulele maeneo ya Dar

Msaada: Nitapata wapi Ndulele maeneo ya Dar

Za kazi gani acha uchawi wewe piga maombi kwa Bwana Yesu kila kitu kitaenda vizuri
Mkuu dini zinawapeleka pabaya

Achana na fairly tales

Ase kwani ndulele zinatumikaje kwenye uchawi naona mnatoka nje ya mada

Yani tunda lina athari gani kwenye uchawi acheni mawazo asi
 
Hapo Dar, kuna ofisi iko karibu na Wizara ya Elimu,, Chuo cha Utumishi wa Umma, Haki za Binadamu, Wizara ya fedha ya ZNZ, sogea hapo kwenye ka jigeti gonga humo wakufungulie uwaambie shida yako watakufungulia uchume kadri upendavyo!
 
Kwa maana hiyo akachume ndulele ikulu?
We jamaa humtakii mwenzio mema aisee
 
Ukimpelekea ndulele huyo mganga mambo yasipo kaa vizuri ntakwambia umpelekee ugoko wa konokono
 
Dawa ya jino sio Mambo ya kiganga ni dawa nzuri sana ya jino linaloanza kutoboka
 
Pole sana kwa jino Mkuu,Kwa hapa dar nenda pale Lugalo..KJ kwenye pori pale utazipata nying sana pale na pia hata ukiuliza wakaz wa pale getin watakupa ushirikiano mzuri tu wa kuzipata ndulele,pole sana Mkuu
 
Back
Top Bottom