Pastory Kimaryo JF-Expert Member Jan 16, 2018 967 664 Dec 21, 2020 #1 Habarini, Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje Nawasilisha, Nawategemea.
Habarini, Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje Nawasilisha, Nawategemea.
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,559 142,322 Dec 21, 2020 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw