issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
- Thread starter
- #101
heeeh!! icho kiruga chako au?
ni standard english mkuu
heeeh!! icho kiruga chako au?
Aiseee, si mtakula majani sasa? Mwanaume hana likizo ati!
Izo lyrics umekopi kwenye segere gani
Ndo kazi unayofanya ukiwa jobless?
Hahaa..haziishi pacha. Tumewekeza
mkuu ni standard english hiyo mkuu
hamna cha standard english wala cha nin nimesoma seminar miaka saba ila hiki ulichoandika unamix maneno ya english na kiluga chako unachanga changaya wew
Ndo kazi unayofanya ukiwa jobless?
'Valentina' hicho ni kichagga au kimeru maana nimetoka kapa sijaelewa kitu hapo may be Watu8 au mzee mzima Asprin watutafasarieNgoja tuombe msaada wa Mr Rocky
I have been in a barf love for tang by hern of years with the boerturn of hugmad love.she loved me and i ferd by calniverl as never ever husk by marves and oldered.i feel shy to inkl you the story but i feg by trave.my i please you how chert to my lover as tred for bean again?
Please help me.
sasa hiyo ndo nini?hucho kiitaliano au kiebrania?maana hakielewekiI have been in a barf love for tang by hern of years with the boerturn of hugmad love.she loved me and i ferd by calniverl as never ever husk by marves and oldered.i feel shy to inkl you the story but i feg by trave.my i please you how chert to my lover as tred for bean again?
Please help me.
'Valentina' hicho ni kichagga au kimeru maana nimetoka kapa sijaelewa kitu hapo may be Watu8 au mzee mzima Asprin watutafasarie
Mzee mwenzangu unanionea bure tu....
Mi niko bize huku napiga zoezi la kuhesabu kura za Edoboy
Hahahahaaaanaona watu hawaja kuelewa natoa msaada wa kutafsiri thread yako kwa kiswahili:-
mimi ni kijana ninaye ishi na mke wangu, lakini tatizo kubwa ni kwamba jogoo langu halipandi mtungi hii hupelekea mke wangu kutoka nje ya ndoa, inaniuma sana lakini ndoivyo tena mkufu hausimami na pia kinachoniumiza zaidi mimi ni domo zege hivyo itakuwa vigumu sana kupata mwanamke mwengine maana hata huyu nilitongozewa.
ushauri jamani, ni endeleenae au niachanenae?
nisaidieni jamani!!!