Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 740
Ni kuachana naye tu
kama kawaida mkuu,raha na burudana JF ndio mahara pake cha msingi tusivunje sheria na taratibu tu
ni standard english ndugu.pole kama umeishindwa kuielewa.pole sana
Kweli ras simba kiboko, atakuwa anafundisha lugha nyingi mnoo mana hii ya leo sijui ni kisandawe!!!
Ni kuachana naye tu
Kiukweli nimecheka sana Leo.
The note that fell outta UFO. My shot would be.
Umeelewa lakini?
Ameomba msaada msaada moyo wake una tundu. Sa aachane na nani?!
Umei-cut kutoka mtandao gani?
I guess an Alien dropped that. ..ha ha ha ha ha
Pacha yule bwanako yuko wapi? Sijawaona siku nyingi?
Kimgereza nacho tabu kwlei 😂😂😂
Yupo..sema likizo ndefu hii ameianza tangu alhamis,kapumzika tu.
mkuu ni habari ya kweli na lengo langu ni kupata msaada kwa wanaJF ukiwa pamoja nawe,karibu tafadhari
I guess an Alien dropped that. ..ha ha ha ha ha
mkuu sor,may i fup the wor from the dae
Eeeeeh bora angeongea kiswahili.
Ushauri wa nini mkuu