undefine
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 442
- 1,011
Habari zenu waungwana
Nina shida, natafuta nyoka aidha green snake au black snake.
ninapoishi saizi kuna tatizo la panya na Mende wanasumbua sana.
Hivyo nimeona njia sahihi ni kufuga nyoka ili niweze kuwatokomeza viumbe hivi.
Uwepo wa nyoka utanisaidia kupungua kwa panya na Mende,sababu hawa wadudu watakuwa kitoweo cha nyoka.
Msaada kama kuna mtu anaweza kunipatia nyoka nitamlipa kiasi chochote tutakachokubaliana na kama watapatikana nyoka wawii itakuwa vizuri zaidi. Au kama nikipewa maelekezo wapi nitawapata nyoka hao itakuwa msaada kwangu mimi.
Shukran.