Msaada: Ninataka kufuga nyoka, wapi nitaweza kununua au kupata nyoka

undefine

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
442
1,011
Habari zenu waungwana

Nina shida, natafuta nyoka aidha green snake au black snake.
ninapoishi saizi kuna tatizo la panya na Mende wanasumbua sana.

Hivyo nimeona njia sahihi ni kufuga nyoka ili niweze kuwatokomeza viumbe hivi.
Uwepo wa nyoka utanisaidia kupungua kwa panya na Mende,sababu hawa wadudu watakuwa kitoweo cha nyoka.

Msaada kama kuna mtu anaweza kunipatia nyoka nitamlipa kiasi chochote tutakachokubaliana na kama watapatikana nyoka wawii itakuwa vizuri zaidi. Au kama nikipewa maelekezo wapi nitawapata nyoka hao itakuwa msaada kwangu mimi.

Shukran.
 
4879115684_f29fb9153b.jpg

Fuga wote, ila sio huyu mwenye mdomo mweusi na kichwa kama jeneza(MAMBA MWEUSI aka koboko), Siku akikasirika mtaa mzima utahamia kwenye kabati za mochwari.
Kila la kheri nyoka wote wanafugika tu kama paka.
 
Habari zenu waungwana

Nina shida, natafuta nyoka aidha green snake au black snake.
ninapoishi saizi kuna tatizo la panya na Mende wanasumbua sana.


hivyo nimeona njia sahihi ni kufuga nyoka ili niweze kuwatokomeza viumbe hivi .
Uwepo wa nyoka utanisaidia kupungua kwa panya na Mende,sababu hawa wadudu watakuwa kitoweo cha nyoka.

msaada kama kuna mtu anaweza kunipatia nyoka nitamlipa kiasi chochote tutakachokubaliana na kama watapatikana nyoka wawii itakuwa vizuri zaidi.Au kama nikipewa maelekezo wapi nitawapata nyoka hao itakuwa msaada kwangu mimi.

shukran.
Unataka kuruka jivu ukanyage moto? Unataka kumuua mende kwa risasi?
 
Wazo zuri sana hilo,ngoja nikutafutie jamaa yangu mmoja yupo Mwanza yeye hao huwa anawachezea muda wote.
 
Dawa ya kutibu ukiumwa na hao nyoka nmesikia ni 250,000/=
Hata mm napenda nyoka,but tuu kufuga mende unaweza losti km senene zinamafuta sana na tamu kulia na.ugali

Na pia panya kumaliza ni rahisi zaid kwa dawa au paka

Maana panya wa ndan hawaliwi

Fuga paka,ni wanyama.wazur,wakalimu wachesh hawachoshi km mbwa tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom