Msaada: Nina Millioni 10 itatosha kujenga nyumba?

Kijijini unaweza ukajenga ya udongo ya chumba kimoja na sebule ukafikia hadi stage ya kupaua kwa nyasi, ila hufanyi finishing yeyote
 
Hiyo hela ni ndogo sana, huwezi kujenga nyumba labda kama unajenga kijijini. Ushauri wangu endelea kupiga vibarua uongeze zaidi, ila sasa hizo milioni kumi ulizo nazo anza ujenzi usikae nazo unaweza kuzitumia kunyume na matumizi ya ujenzi.
Maisha ni taratibu mkuu nami nataka nijibane huku huku mjini nilipo, nashukuru kwa ushauri.
 
we anza kujenga sio pesa ila wito.
mimi nilianza ujenzi nikiwa na kiasi kidogo sana cha pesa nikajenga msingi na nikapandisha kozi nne nikakaa miaka minne ndipo nikaendelea lakini kwa sababu siko dar vinginevyo ningeshahamia.
pia babu yang baada ya kusumbuliwa na kodi mjini aliamia nyumba imejengwa upande ndo maana nakwambia we anza fedha zingine zitakuja wakati ukiendelea.
Ishu sio nyumba kubwa nimeplan kuanza na nyumba ndogo badae mambo yakikaa poa ntajenga kubwa,
 
Habar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
Mm sio fundi ila iyo pesa itaweza kutosha nyumba ndogo mpaka mabati ila finishing utaendelea nayo taratibu naamini finishing inaweza kua na gharama kuliko kupandisha nyumba mf: atakae fanya finishing kua nyumba yake ai sakafie na dhahabu tupu ni tofauti na ww utake sakafia na mchanga na siment. Tafuta ramani mpe mkadiriaji baada ya hapo tafuta fundi mzuri na simamia ujenzi ww mwenyewe naamini kama ni vyumba viwili vya kawaida sana kuanzia mil7 utakua umepiga hatua kubwa sana: wengi wa watu wa humu jf ukiwasikiliza iyo pesa utamalizia baa usimsikilize we kaanze ujenzi, watu wanajenga mpaka kwa kudunduliza sembuse ww 10m tayari unayo mkononi! Msingi peke yake kwa nyumba ndogo kama hyo cdhani kama 3m itaisha maana mziki upo kwenye msingi, mbao na bati hapo ktkt 2m inapandisha
 
hata hiyo niliyokutumia ni nyumba ndogo (lakini sio kama wanavyofikiri yaani ni nyumba ya uwani.
nilitumia hela nyingi kumlipa choraji kwa wakati ule na mshahara wangu ulikuwa 120,000/- na ramani nililipia 400,000/- kwa zote mbili.
 
Ndiyoo inatoshaa nyumba ya udongo
 
Nashukuru sana mkuu
 
Unajenga Nyumba room mbili na sebule, choo cha ndani na njee, gipsum, tails na rangi. Ilimladi uwe na Kiwanja ambacho ni flat plot.
Nipe Kazi ya ufundi mkuu.
Fundi hebu tufafanulie
1.matofali mangapi? tuseme 2500=2,500,000
2.cement mifuko mingapi kusimamisha boma na plaster nje na ndani?
3.nondo/kokoto za ring beam chini na juu ngapi?
4.mbao za kuezekea ngapi?
5.mabati mangapi
6.gypsum board
7.vyoo/bafu
8.vifaa vya wiring
9.vifaa vya mabomba
10.madirisha
11.tiles za nyumba nzima
12.rangi nyumba nzima
14.Hela ya mafundi wa kazi zote.
 
Inatosha na pia haitoshi,inategemea na sehemu sehemu zinazo fanana na mbeya ujenga vizuri kabisa,sehemu nyingine hiyo ni ya msingi na tofali bc
 
hata hiyo niliyokutumia ni nyumba ndogo (lakini sio kama wanavyofikiri yaani ni nyumba ya uwani.
nilitumia hela nyingi kumlipa choraji kwa wakati ule na mshahara wangu ulikuwa 120,000/- na ramani nililipia 400,000/- kwa zote mbili.
Lkn inaonekana kubwa mkuu nimeshtushwa sana kuiona Mungu ni mwema ntafanikisha , nashukuru mkuu
 
Kama una kiwanja.......... anza tu kujenga.

Hata fundi mlete tu apime na kuanza ujenzi, usimuulize bei ya vitu. Wengi wanazingua ili hela ya ufundi iwe kubwa kwa kuzidisha bei za vitu.

Kama ni tofali la kuchoma m4 tu inatosha kununua material.

Kama la block hiyo inatosha ila hela ya fundi iwe pembeni.

Huku kwetu fundi tunampiga 150,000= per room ila inategemea , kama nyumba ni bangaluu na ramani complicated bei inakuwa kama 300,000 per room. Yaani I mean kama room 3 za kulala na kila moja ina choo na Library na sebule na dining na jiko na stoo na korido kama mbili na choo cha ndani hapo ni 3,000,000= bila ubishi.

Anza leo, usisikilize mawazo ya watu.
 
Watu ambao hamjawahi kujenga ndio mpo mbele kumkatisha mwenzenu tamaa. Milion 10 inatosha kuanza ujenzi. Unaweza kuanza ujenzi wa nyumba ndogo ya kawaida ya vyumba vitatu, sebure ,jiko na dinning ILA hauwezi kumalizia kwa pesa hiyo hiyo, jenga itakapoishia jipange tena taaratibu utajikuta umekuwa mwenye nyumba. Kumbuka maisha ni nyumba bila kuwa na sehemu nzuri ya kuishi ni ngumu kupata maendeleo.
 
Habar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari

Vipi kuhusu ramani unayo ndugu
 
Good
 
Habar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
Mkuu hongera kwa kuwa na hiyo ml.10 ila hauwezi kujenga nyumba kwa pesa hizo ..hapo utaweza kuzuia kiwanja tu
 
Back
Top Bottom