Hiyoblabda ujenge chumba kimoja tuu.Habar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
Nimwiba benki mkuuUmepata wapi hizo milioni kumi?
Mwenyewe keshanijibu, na tayari nimeshamshauriNimwiba benki mkuu
Mkuu unaweza jenga nyumba ya vyumba vitatu ila kama jiko na dining vipo utajenga ya vyumba viwili cha kufanya hakikisha unajenga boma linaisha ununue Mbao kwenye Mbao hakikisha fundi wa kuezeka hapaishi hewan sama maana Mbao zitaenda nyingi kingpost isizid futi 12 nunua bati ezeka kwanza nunua madirisha na mlango wa nyuma na mbele weka hii itakusaidia endapo ela utakua ndogo unaweza funga nyumba yako ukaendelea kujikusanya kama ela itabaki chimba Shimo la Choo baaada ya hapo mwaga jamvi natengeneza system ya chooni ili kama ela itaisha unaweza kuishi umo kuondoa adha ya kodi uku ukiendelelea kujenga lakin baada ya hayo yote kukamilika na ela ikabaki unaweza panga ufanye nin kwenye nyumba yako kulingana na ela iliyopo.hii ndo formular niliyoitumiaga kwenye Ujenzi wangu na ilinisaidia sanaMaisha ni taratibu mkuu nami nataka nijibane huku huku mjini nilipo, nashukuru kwa ushauri.
Anza mdogo mdogo kama ulivyopanga likamilishe lako usitake ushauri sehemu ya public kuna mawazo mengine yatakukatisha tamaaKiwanja tu ninacho mkuu
Acha ushamba...million kumi hanyanyui room 2?Labda kijijini
Duhhh.....[emoji87] [emoji87]Chukua gunzi au jiwe upunguze ny.ege
1.Kiwanja 2,500,000 unapataHabar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
Hapana
Good sir!!!1.Kiwanja 2,500,000 unapata
2.Tofali 6' 2000×1000=2,000,000
3.Fundi 800,000
4.Mbao 1,200,000
5.Bati 60×15,000=900,000
6.Fundi kupaua 300,000
7.Dirisha chuma 80,000×4=320,000
8.Mirango 5×100,000=500,000
9.Cylingboard 20×14,000=280,000
10.Mbao cylingboard 600,000
11.Kufitisha 400,000
12.Cement 30×13,000=390,000
13.Mchanga kazi yote 340,000
Total=11,030,000.
Halo ni kwamba umenakshi kila kitu.
Uzoefu wangu kwa hapo ni dodoma, Arusha ndani ya 15km.
Dar na mwanza sipajui.
Fungi simamia mwenyewe na manunuzi fundi akutume wewe mwenyewe.
Angelis usikwamishwe kama una 10ml kipindi hiki cha jpm unaweza fanya lolote.
Mafanikio mema.
Fundi hebu tufafanulie
1.matofali mangapi? tuseme 2500=2,500,000
2.cement mifuko mingapi kusimamisha boma na plaster nje na ndani?
3.nondo/kokoto za ring beam chini na juu ngapi?
4.mbao za kuezekea ngapi?
5.mabati mangapi
6.gypsum board
7.vyoo/bafu
8.vifaa vya wiring
9.vifaa vya mabomba
10.madirisha
11.tiles za nyumba nzima
12.rangi nyumba nzima
14.Hela ya mafundi wa kazi zote.