Hapana mkuu,ndo mwisho wangu wa kufikiri.Umenichoka kweli
Kwakuwa wew huna uwezo wa kupata na unadhani wengine ni hvyo..Umepata wapi hizo milioni kumi?
HahahhahaAfu chini afunge matairi ya trekta,asee ni ubunifu mkuu maana si Tanesco wala Dawasco(kama Dar) wataenda kudai bili zao,lazima wasahau tu wakidhani ni Gari LA mizigo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Naunga mkono hojaMkuu inategemea na eneo unapotaka kujenga (kiwanja) na
Aina ya nyumba.
Swala la ujenzi ni kujikana we anza taratibu maana humu watakuvunja moyo wengi
Kwakuwa wew huna uwezo wa kupata na unadhani wengine ni hvyo..
lumbi lumbi una kiherehere sana, nilimuuliza muhusika ili akishajibu niendelee kumshauri. acha ny.ege ndugu.Kibarua mkuu
Mkuu haitoshiHabar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
Kiwanja ninacho bosskama ni swala la kukaa kwako inatosha! jenga msingi wote kisha inua vyumba vitatu. kwa ramani nanayofikiria unaweza kuinua jiko sebule na sehemu ya kulia chakula kisha unavifanya kwa muda jiko chumbani kwako dining watoto halafu sebule kama kawaida. au jiko sebule ,watoto dining wewe lala sebuleni mlango uko jikoni.
madirisha mengine ziba kwanza utaratibu utafuata.
tofali 2500 zinakutosha.
kiwanja 3,000,000/-
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umepata wapi hizo milioni kumi?
Hiyo hela ni ndogo sana, huwezi kujenga nyumba labda kama unajenga kijijini. Ushauri wangu endelea kupiga vibarua uongeze zaidi, ila sasa hizo milioni kumi ulizo nazo anza ujenzi usikae nazo unaweza kuzitumia kunyume na matumizi ya ujenzi.Kibarua mkuu
we anza kujenga sio pesa ila wito.Kiwanja ninacho boss
Kwahiyo wewe ushauri wako mpaka ujue alipotoa fedha..[emoji1] ..Nasubiri akujibu nione utamshauri nini!!lumbi lumbi una kiherehere sana, nilimuuliza muhusika ili akishajibu niendelee kumshauri. acha ny.ege ndugu.
naweza kukupa hicho kiramani japo nakushauri ukibadilishe ukiongezee chumba kimoja ni pm kam uko seriouswe anza kujenga sio pesa ila wito.
mimi nilianza ujenzi nikiwa na kiasi kidogo sana cha pesa nikajenga msingi na nikapandisha kozi nne nikakaa miaka minne ndipo nikaendelea lakini kwa sababu siko dar vinginevyo ningeshahamia.
pia babu yang baada ya kusumbuliwa na kodi mjini aliamia nyumba imejengwa upande ndo maana nakwambia we anza fedha zingine zitakuja wakati ukiendelea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kibarua mkuu
Lengo langu ilikuwa nijue chanzo cha hizo hela nimshauri wala sikuwa na nia mbaya. japo wapo akina lumbi lumbi wanawasha washa map.umbu kama sio mashavu ya k.um... ameingilia asilolijuaHiyo hela ni ndogo sana, huwezi kujenga nyumba labda kama unajenga kijijini. Ushauri wangu endelea kupiga vibarua uongeze zaidi, ila sasa hizo milioni kumi ulizo nazo anza ujenzi usikae nazo unaweza kuzitumia kunyume na matumizi ya ujenzi.
Chukua gunzi au jiwe upunguze ny.egeKwahiyo wewe ushauri wako mpaka ujue alipotoa fedha..[emoji1] ..Nasubiri akujibu nione utamshauri nini!!