6 Mbinu zakutumia Kutengeneza Tsh 300,000 kwa mwezi kupitia Blog yako. Huitaji Google Adsense

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Habari ya jioni wakuu,

Nianze kwa kusema kwa upande wangu nipo vizuri. Nipo napata coffee ️ya moto muda huu. Kuna baridi hapa Arusha kwahiyo hii coffee inanifanya nijisikie murua kabisa huku taratibu nikifuatilia mambo yanayoendelea kwenye hii dunia yetu ya sayansi na teknolojia.

Alright, baada ya kusema hayo sasa niende kwenye topic bila kupoteza muda.

Kama kawaida leo nimepata nafasi nataka nikuonyeshe jinsi unavyoweza tengeneza extra income kwakupitia blog yako bila kuhangaika na mambo ya Google Adsense au matangazo yaaina yoyote ile.

Nataka nikuonyeshe jinsi unavyoweza Kutengeneza pesa kwakutumia organic traffic kwenye website yako.

Unajua, watu wanaofikiria kuanzisha blog na kutengeneza pesa wengi si entrepreneur sasa wanakosa “jicho” lakuona jinsi unavyoweza tengeneza mrija wako mwenyewe wa income kwakutumia blog yako bila kutegemea Google Adsense.

Nashangaa unakuta watu wanahangaika kununua Account za Adsense, wengine wanajiunga sijui wagroup ya wapi kisa tu wapate fake visitors kwenye blogs zao.

Mimi nasema hiyo ni kazi ngumu na haitakiwi iwe hivyo.

Vipi kama ukawa real for a 10 second. Just 10 second. And ask yourself, je unachokifanya ni kwaajili ya nini hasa?

Kwasababu mwisho wa siku si tu Kutengeneza cash vilevile jinsi unavyowa inspire watu wanaosoma blog yao.

Kwasababu ukiwa real inamaana blog yako na unavyoviandika kweli vinatija kwa wasomaji wako.

Hapo chini nitaenda kukuonyesha jinsi ninavyotumia blog yangu ndogo kutengeneza leads na mwisho Kutengeneza pesa bila kupoteza muda kutegemea fake visitors ambao wala hawapendi nachokifanya.

Sasa upo tayari nikuonyeshe jinsi unavyoweza tengeneza mkwanja kwakutumia blog yako bila kuhangaika na Adsense?

1 • Ukianzisha blog, tafadhali...hakikisha ni niche based blog.

Tofauti na hapo you are doomed to fail.

Unafahamu maana ya niche blog?

Simple tu.

Ni blog inayofocus kwenye topic moja.

Kwa mfano, mimi ka blog kangu, nakaita ka blog kwasababu bado natumia free plan. Lakini ukweli ni kwamba haka ka blog kananitengenezea leads and I make decent money ambayo naweza sema ningekuwa nategemea Ads ningepoteza muda tu.

Well, blog yangu inahusu “how to make side income online”

Nazungumzia mambo yanayohusu hili eneo pekee.

Sichanganyi mambo mengine.

Kwanini ni muhimu kuwa na niche blog?

Endelea number mbili.

2 • Niche blog itakufanya uonekane “mweledi” katika eneo lako kwa haraka. Na kama ujuavyo watu watakuwa tayari kukupatia pesa iwapo wanafikiri wewe ni mjuzi katika kitu unachojaribu kumfahamisha. Si ndivyo?

Sasa unakuta mtu anakurupuka anaanzisha blog ya siasa kisa ameambiwa atapata wasomaji wengi. So what? Ukipata wasomaji wengi ?

You need to be strategic.

Niche ambayo umechagua kwanza kabisa hakikisha kwa kiasi fualani inatatua changamoto fulani ya moja kwa moja.

Kwa mfano mimi nafahamu sasa hivi kuna changamoto ya watu wengi kutokuwa na kipato kinachotosheleza. Sasa njia rahisi yakupngeza income ni kuanzisha side hustle. Na mimi hapa ninauelewa kwahiyo ninawaonyesha jinsi yakufanikisha hiki.

Disclaimer : Mimi si authorized business/investment adviser. Kwahiyo kwa kila nachoandika hapa you need to do your own due diligence.

Lakini hiyo haimaanishi ninayoandika si vya kweli.

Ni kwa kweli 100%

Ni vile tu napenda kuwa muwazi unaweza labda ukaaema ok Global amesema Online Freelancing ni opportunity nzuri yakutengeneza pesa sasa ukadhani na wewe utafanikiwa kama mimi. Nop.

Results zinatofautiana kutokana na jitihada, uvumilivu na kufurahia unachofanya.

3 • Kwenye post unazoandika, andika kwa mtindo wa ku-solve tatizo fulani.

Mfano mzuri ni hii post unayosoma.

Sijaandika kwasababu nimeandika tu.

Nimejaribu kuonyesha tatizo na jinsi yaku solve hilo tatizo. Na kwa maana hii, kusolve tatizo kwangu ni kutengeneza more money

Ukiandika post zinazo solve tatizo katika niche uliyochagua hiyo maana yake readers wako watakuona wewe ni mweledi na watataka kujifunza zaidi toka kwako.

Does that make sense?

4 • Kwenye posts unazoandika usiache kuonyesha upo tayari kumsaidia yoyote yule anayetaka kujifunza zaidi.

Guess what?

Hapo ndio Business inaanza.

You need to be smart and think faster.

Kumbuka blog yako haitegemei matangazo. Unachotegemea wewe ni kushusha nondo na kwa hakika potential client wataanza kukutafuta kwasababu you are fire

Yes, kama nilivyosema unahitaji kuonyesha wazi upo tayari kutoa consultation kwa yoyote nayetaka kujifunza kwako.

Trust me, watu wengi wanatafuta knowledge mtandaoni.

Sasa ukiweza kuji position kama mweledi kwa hakika kabisa utatengeneza pesa. Unahitaji kuwa flexible na kujaribu bila woga.

5 • Jifunze jinsi yakutumia persuation Skills + negotiation skills ili ufanikiwe ku close deal as quickly as possible.

Ok,

Sasa watu wamesoma blog yako na wapo interested kujifunza toka kwako jambo fulani.

Nini sasa kinafuata?

Kinachofuata ni kufahamu jinsi yakuwa good negotiator lakini vilevile kujifunza persuasion skills.

Kwa watu wanaosoma post nazoandika wanafahamu nimekuwa nikiweka msisitizo kwenye persuasion skills.

Hii ni art mtu yeyote anaweza kujifunza.

Kwasababu kuwa na niche blog pekee haitoshi.

Niche blog kazi yake ni Kutengeneza leads tu.

Kwa wasiofahami maana lead, maana yake kwa lugha rahisi tutumie analogy vile wavuvi wanavyotula ndoano kwenye bahari.

Mvuvi ni wewe.

Ndoano yako ni niche blog yako.

Lead ni samaki anayenasa kwenye ndoano.

Does that make sense?

Sasa ukitumia huo mfano inakuwa rahisi kuelewa.

Na kwasababu lead wako si samaki inabidi uongee naye. Hapa kwenye mazungumzo ndipo pamuhimu zaidi kwasababu it doesn’t matter ulingaika vipi kumpata huyu lead ukishindwa ku close deal ndiyo hivyo umeshindwa jamaa angu.

Lakini kama upo vizuri kuna mbinu zakutumia kumfanya client anayesema NO leo aseme YES kesho.

Ni rahisi tu. You only need to know how.

6 • Tumia teknolojia kutatua changamoto iwapo lead wako atakuwa paid client.

Kwa mfano sasa wewe ni mtaalamu wa adobe photoshop na umepata mshkaji anayetaka kujifunza toka kwako sasa hapa watu wengi huwa wanahangaika je nitawezaje kumfundisha sasa kama hatupo mkoa mmoja?

Jibu langu ni, are you serios buddy?

Kipindi hiki kuna teknolojia nyingi zakutumia kuendesha online classes. Kwanini wewe usijifunze?

Alright, if you are serious you can write me email to makingmoneyonlinetz@gmail.com

Please, niambie unachohitaji kwa ufasaha.

Baadhi ya watu wanakutumia email wanaandika “hello” sasa unashindwa kufahamu huyu anataka nini kwahiyo hutoi umuhimu kwake.

Ok,

Binafsi mbinu ninazotumia kuwapatia maarifa watu wanaonilipa ni zaidi ya university degree.

Nahakikisha natumia teknolojia ili Master Class iwe kama nipo na wewe hapo home kwako.

Kwa ninaowapatia Master Class wanafahamu hili.

Nikitumia siku moja na wewe unakuwa mtu mpya kimtazamo kwasababu nitakuonyesha vile unavyoweza kutumia talent uliyonayo tayari, Kutengeneza some extra income kwa ajili ya mahitaji yako hapo home.

Yes man, kwa leo niishie hapa.

Let’s get these online money

Cheers
 
Me nilifikiri unashusha nondo on how to crack na kupata viewers,

Ww unafikiri kwa nn wstu wanatafuta fake viewers kama real wapo??

Hizi mishe za Blog kwa dunia ya leo pesa iko lkn watu wanapiga hela kwa mtindo mwingine kabisaaa

Kikubwa ni kutafuta Facebook account za watu wengi, fake link kisha unaendelea mpk hapo inabidi uwe ushaelewa mchezo

Kusema upige hela kwa real viwers ni ngumu sana Mwisaaa

Hayo uliyoandika tulishafanya kitambo sana na hakuna kitu sasa hv tuko ulimwengu mwingine wa kupiga hela

Yaani kwa siku dollar 100 mpk 300 kawaida tu. Mkubwa

Asante
 
1 • Unafikiria kama mcheza kamari.

Ulivyosema tu hapo “upige hela” nimefahamu you are not real. You are looking for quick fix.

2 • Ulivyosema ku-share link kwenye Facebook groups kisa upate traffic kwenye blog yako nimefahamu blog yako haina value yoyote kwahiyo hauna uwezo wakumfanya mtu akupatie pesa kwasababu hauna value. Period.

3 • Wewe unataka blog ikufanye Uwe tajiri? Ongeza value zaidi kwa mambo unayoandika na si vinginevyo.

Kwasababu njia zakupata fake visitors ukiandika kwa watu wanaojielewa watakuona bado unaleta masihara ya kitoto. Pia hizo njia mwisho wake ni kujitafutia matatizo na Google.

4 • Kama kweli Wewe ni blogger na unajiamini unachoandika basi ukitaka kupata readers wengi tumia njia ya Guest post.

Kwamba unaomba bloggers wengine wanaoandika mambo yanayolingana na yako wakukaribishe uandike post ukifundisha jambo fulani na mwisho utaacha link ya blog yako.

Hiyo ndiyo njia sustainable kwasababu lengo la kuwa blogger si kuwa MSANII MSANII.

Kuwa na blog maana yake umaeamua kuspit knowledge.

Mnaotafuta pesa pekee hamjielewi.
 
Ukiweka njia zako itakuwa vizuri zaidi mkuu
 
ukiweka njia zako itakuwa vizuri zaidi mkuu

Mkuu mbinu yangu ni rahisi tu.

1 • Chagua profitable niche. Hapa ni muhimu sana

2 • Annika posts zinazowasaidia watu. Andika njingi tena ziwe original kwasababu ukiandika mambo ambayo wewe mwenyewe huyaamini watu watafahamu na hawatakuamini.

3 • Onyesha upo tayari kumsaidia yoyote yule.

4 • Watu wataanza kukutafuta. Hapa sasa ukishindwa mwenyewe inabidi kujifunza jinsi yaku-close deal. Very important part.

Angalia mfano wa hawa readers wangu (leads) walinitafuta recently. Wote nimefanya nao kazi na wamenilipa.

IMG_1035.jpg

IMG_1034.jpg

Sasa nikipata leads 8 - 10 kwa mwezi tayari natengeneza $150 bila kutumia nguvu nyingi.

Pia ni nzuri kwasababu ninawasaidia watu in real life kwahiyo tunapata nafasi yakufanya business nyingine kama kuna opportunity.
 
Me nilifikiri unashusha nondo on how to crack na kupata viewers,

Ww unafikiri kwa nn wstu wanatafuta fake viewers kama real wapo??

Hizi mishe za Blog kwa dunia ya leo pesa iko lkn watu wanapiga hela kwa mtindo mwingine kabisaaa

Kikubwa ni kutafuta Facebook account za watu wengi, fake link kisha unaendelea mpk hapo inabidi uwe ushaelewa mchezo

Kusema upige hela kwa real viwers ni ngumu sana Mwisaaa

Hayo uliyoandika tulishafanya kitambo sana na hakuna kitu sasa hv tuko ulimwengu mwingine wa kupiga hela

Yaani kwa siku dollar 100 mpk 300 kawaida tu. Mkubwa

Asante
Unatumia njia gani kiongozi unielekeze namimi
 
Nifundishe tu namna ya Kupata Dola Moja Kwa Siku Hizo Nyngne Nitajiongeza
 
Dah....dunia hana haki....wakati wewe unawaza laki 3 za kibongo kwa mwezi......mwenzio kashapiga dola milioni 256 umangani 🤣🤣🤣🤣🤭
 
Hupigi pesa bro, watu wanaopiga pesa hawanaga muda wa kufundisha watu online, wala kuandika ulichokiandika. Kingine hujui namna ya kupiga pesa kupitia blog. Pia hujaonesha njia ya kupiga pesa kwenye blog na kupata hiyo 300k, hakuna kitu kigumu kama kupiga pesa kwenye blog myabe APP ni rahisi kidogo kuliko blog. APP unaweza tengeneza APP ya status downloader uka boost fb kwa kulipia ads ukapiga pesa kwa trick kinyume na hapo unapoteza pesa fb kwa kulipia ads.

Ukitaka upige pesa kwenye blog kwanza uwe una dili makala zenye topics zifuatazo:

1. INSURANCE
2. ONLINE EDUCATION
3. HEALTH
4. AI

Ukidili moja kati ya hizo topics na kweka adsense na uka target US utapiga sana pesa ila utatumia gharama sana kupata viewers kutoka US labda uwe mtaalamu sana wa SEO na utumie WORDPRESS.

Ukija kwenye swala la pesa kupitia blog GOOGLE WAKO SERIUOS VIBAYA MNO. No easy money ukiongelea blog.

Ukitaka kupiga pesa jifunze namna ya ku run ads free fb na utafute mwandishi mzuri wa ARTICLE pendwa zilizozitaja hapo juu na umlipe.

Ukiweza haya niliyoyasema kila mwezi ukosi $1000/$5000. Ila jasho litakutoka :)
 
Umenishawishi sana mkuu katika swala zima la ku-tafuta kipato kupitia blogging kwa sasa nipo kwenye hatua za mwishoni hivi karibuni natarajia kuanza kukamilisha vipengele muhimu kwenye blog yangu (tearms and condition,about us & contact us) pamoja na kununua domain (.com) nia ya kufanya ni kuwathibitishia google kuwa ni biashara ya uhakika na baadae nikiomba matangazo kwenye blog yangu hizi ndio sehemu muhimu watakazo kagua kabla ya kukubaliwa...
 
Back
Top Bottom