Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

Hii sahau kabisa, tena wasikutie moyo. Una matokeo mazuri ya kuanza fani yoyote kwa ngazi ya astashahada, kisha utaendelea mbele. Hakuna shule ya serikali itakuchagua kuendelea na form five na six kwa DIVISION FOUR. Siku ukipata, naomba unikumbushe hapa JF kwa nia njema!!
 
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda kasome certificate then diploma badae jaribu kuapply chuo kikuu wakizingua tafuta pesa kasome nje dgree
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mzee wa masele..hapa ndipo ambapo marafiki mnatengana...mzee wa masele kama vipi kapige certificate au diploma ya mambo ya afya...uende mdogo mdogo mpaka uje uombe degree..sometimes shortcut ni nzuri pia
Triple ee Nina ndugu yang ana c moja vip anataka kwenda chuo atasomeaa nn atak kwenda vet
 
Mr naomba unisaidie mimi naweza nikasomaje advance ya kulipia na ingali nina credit 2 naomba unisaidie mkuu nitumie no yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…