Tetesi: Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

advocate kiza

advocate kiza

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
263
225
D4 unaenda chuo certificate. lakini huwezi kenda University kama una vigezo vya F5. Nimeweka waraka wa serikali humu
Mkuu Unamaanisha Nini Unaposema Certificate Alafu Huendi University?? Ule Waraka Wa March 2018, Ume Base Goverment Schools Tu, Wange Sema Sifa Ya Kufanya Mtihani Wa Form Six Ni Credit Ngapi?
 
S

sacred wall

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
661
1,000
Mkuu Unamaanisha Nini Unaposema Certificate Alafu Huendi University?? Ule Waraka Wa March 2018, Ume Base Goverment Schools Tu, Wange Sema Sifa Ya Kufanya Mtihani Wa Form Six Ni Credit Ngapi?

angalia hii kama kuna swali uliza. Kama huna vigezo vya form 5, hata ukimaliza diploma vizuri, hutaruhusiwa kwenda University
 

Attachments

Mtoto wa nzi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
5,592
2,000
Mkuu Na Huyu Necta 2017
Civ C
Eng C
Kisw C
Geo D
Hist D
Bios D
Math F Private Atasoma H.G.L?
hapo kombi za arts zote zina point 8 ... Anapata lakini kwa matokeo ya nwaka huu kupenya serikalini ngumu kidogo.
 
advocate kiza

advocate kiza

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
263
225
hapo kombi za arts zote zina point 8 ... Anapata lakini kwa matokeo ya nwaka huu kupenya serikalini ngumu kidogo.
Mkuu Point Wanahesabu Kivipi? Maana Kama Ni A-1 B-2 C-3 D-4 Inamaana Hkl Atakuwa Na Point Kumi, Hgl Atakuwa Na Point 11 Alafu Ana Four 26!
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
8,623
2,000
Siku izi ata div 3 ya 25 haina tofauti na four ya 26 kwenda advance ya government
Zamani (sijui mpaka sasa?) mtu alikuwa akipata Div4 ya points 26 anakwenda chuo cha Ualimu vizuri tu na walimu wengi wa sasa ni products za division four. Harafu tunashangaa viwango vya watoto wetu wa St. Kayumba
 
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
10,817
2,000
Wewe kijana, kwa mfumo wa sasa, kama huna sifa za kwenda form five hutaruhusiwa kwenda university. Unielewe. huyu anayekwenda veta ana ufaulu mdogo usiomruhusu kwendaA level!
Sio lazima aende veta. Akapige diploma.. ten akazie apate gpa ya kuingia chuo.

Nani kasema usipopita form five hutaruhusiwa kwenda chuo? Nimesoma na watu wa diploma nikiwa chuo kikuu.
It is possible, dogo afuate sheria tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Decha

Decha

Member
Jul 7, 2013
39
70
Kwa iyo mtu akipata A tatu za History, Kiswahili na English na akawa na division IV ya 26 na yeye ataenda chuo kwa kuwa tuu ana credit?

Dogo, ukishakuwa na division 4 tuu, sahau advance.
Sheria ukiwa na credit 3 A-C combination unaruhusiwa kusoma A level lakini ukitaka kwenda chuo chochote cert unatakiwa uwe na pass 4 A-D

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

sacred wall

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
661
1,000
Sio lazima aende veta. Akapige diploma.. ten akazie apate gpa ya kuingia chuo.

Nani kasema usipopita form five hutaruhusiwa kwenda chuo? Nimesoma na watu wa diploma nikiwa chuo kikuu.
It is possible, dogo afuate sheria tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa, zamani ukiwa na diploma tu unakwenda, siyo sasa. Health related University degree unahitaji 3.5 GPA, kozi zisizo za afya unahitaji 3.0 na 4 Ds an above. GPA LAKINI pamoja na GPA hizo lazima uwe na sifa za kwenda form five kwa kozi za afya!
soma attachment hii, table 1 & 2. nadhani utanielewa
 

Attachments

Top Bottom