Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Hii sahau kabisa, tena wasikutie moyo. Una matokeo mazuri ya kuanza fani yoyote kwa ngazi ya astashahada, kisha utaendelea mbele. Hakuna shule ya serikali itakuchagua kuendelea na form five na six kwa DIVISION FOUR. Siku ukipata, naomba unikumbushe hapa JF kwa nia njema!!
 
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
.
Screenshot_20190221-160008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda kasome certificate then diploma badae jaribu kuapply chuo kikuu wakizingua tafuta pesa kasome nje dgree
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mzee wa masele..hapa ndipo ambapo marafiki mnatengana...mzee wa masele kama vipi kapige certificate au diploma ya mambo ya afya...uende mdogo mdogo mpaka uje uombe degree..sometimes shortcut ni nzuri pia
Triple ee Nina ndugu yang ana c moja vip anataka kwenda chuo atasomeaa nn atak kwenda vet
 
Upo sahihi mkuu, ila kwa sisi wa shule za private tunaweza kumpokea. For example mimi kwangu nina watoto ambao nawachukua wengine wana only one credit, lakini nina mfumo wangu fulani ambao nautumiga kuakikisha hawa vijana wanaweza kusoma advance na hatimahe kufika chuo kwa alama nzuri tu. Na honest nimewatoa vijana wengi sana kwa mfumo huo.

Hivyo narudia tena, huyo kijana ANAWEZA KUSOMA ADVANCE Kama yupo tayari, anaweza nichek...ili nimpe maelezo zaidi juu ya namna gani ya kumsaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mr naomba unisaidie mimi naweza nikasomaje advance ya kulipia na ingali nina credit 2 naomba unisaidie mkuu nitumie no yako mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom