Ukishakuwa na alama zaid ya 25
Kwa mujib huwez kwenda advance kulingana na taratib walizotoa mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujib huwez kwenda advance kulingana na taratib walizotoa mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi privateUkishakuwa na alama zaid ya 25
Kwa mujib huwez kwenda advance kulingana na taratib walizotoa mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sahau kabisa, tena wasikutie moyo. Una matokeo mazuri ya kuanza fani yoyote kwa ngazi ya astashahada, kisha utaendelea mbele. Hakuna shule ya serikali itakuchagua kuendelea na form five na six kwa DIVISION FOUR. Siku ukipata, naomba unikumbushe hapa JF kwa nia njema!!Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Hawezi..hata private. Kwani kwenye Tahasusi hakutakiwi kuwe na F.Mfano Bios A Civics A English A Hist F Geo F Kiswah F Anaenda Advance Kweli?
Hawezi..hata private. Kwani kwenye Tahasusi hakutakiwi kuwe na F.Mfano Bios A Civics A English A Hist F Geo F Kiswah F Anaenda Advance Kweli?
.Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Triple ee Nina ndugu yang ana c moja vip anataka kwenda chuo atasomeaa nn atak kwenda vetDaah mzee wa masele..hapa ndipo ambapo marafiki mnatengana...mzee wa masele kama vipi kapige certificate au diploma ya mambo ya afya...uende mdogo mdogo mpaka uje uombe degree..sometimes shortcut ni nzuri pia
Anaweza Kupokelewa Ndio, Ila Hawezi Fanya Pepa La Six, Arisiti Somo Moja
Naomba msaada ni wapi me naweza pokelewa na kurisit somo moja ingal nipo advanceAnaweza Kupokelewa Ndio, Ila Hawezi Fanya Pepa La Six, Arisiti Somo Moja
Naomba unipe maelekezo mkuu nawezaje kusoma A level na muda huohuo na resetAnasoma A level na muda huo huo anareseat mkuu. Nina ushahidi na hilo na inawezekana labda kwa sasa maana naongelea 2016
Sent using Jamii Forums mobile app
Na km unaijua hiyo shule ya advance mkuu naomba unitajieNaomba unipe maelekezo mkuu nawezaje kusoma A level na muda huohuo na reset
Mbez high inaweza kunisaidia mr naomba namba zako nipate maelekezo vzr zaidi
Mr naomba unisaidie mimi naweza nikasomaje advance ya kulipia na ingali nina credit 2 naomba unisaidie mkuu nitumie no yako mkuuUpo sahihi mkuu, ila kwa sisi wa shule za private tunaweza kumpokea. For example mimi kwangu nina watoto ambao nawachukua wengine wana only one credit, lakini nina mfumo wangu fulani ambao nautumiga kuakikisha hawa vijana wanaweza kusoma advance na hatimahe kufika chuo kwa alama nzuri tu. Na honest nimewatoa vijana wengi sana kwa mfumo huo.
Hivyo narudia tena, huyo kijana ANAWEZA KUSOMA ADVANCE Kama yupo tayari, anaweza nichek...ili nimpe maelezo zaidi juu ya namna gani ya kumsaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app