Lewis Maker
Member
- Jan 25, 2019
- 47
- 16
Kwa kozi za sayansi au zote kiujumla changanua vizuriHujaelewa, zamani ukiwa na diploma tu unakwenda, siyo sasa. Health related University degree unahitaji 3.5 GPA, kozi zisizo za afya unahitaji 3.0 na 4 Ds an above. GPA LAKINI pamoja na GPA hizo lazima uwe na sifa za kwenda form five kwa kozi za afya!
soma attachment hii, table 1 & 2. nadhani utanielewa
Kozi za sayansi at University level.... 3.5 GPA; na Olevel uwe na sifa za kwenda form five. soma hii kitu uielewe, ni Kiswahili, kinaeleweka. Ukikwama nijulishe
Daah hafu jamaa ana comment akiwa na full confidenceAliekwambia hivi ni nani?
This is JF jiwe juu ya jiweKumbe ndo maana hujui system za elimu siku hizi. Acha kukurupuka
Uwezi chaguliwa serikalini, lakini unaweza kupata advance katika shule za private, tena kwa mfumo unaoitwa (special need programs). Nichek pm nitakusaidiaAwali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Na mm mkuu nmepata div three ya 23
History B
English C
Kiswahili C
Biology C
Civics C
Geography D
Mathematics F
Je naweza kuchaguliwa advance
Mkuu Na Huyu Necta 2017
Civ C
Eng C
Kisw C
Geo D
Hist D
Bios D
Math F Private Atasoma H.G.L?
Atasoma private, lakini kwa mfumo wa special need programs. If yupo interested kusoma advance, nichek pm nikuelekeze vizuri.Mwenye D D C, Ana C Tatu, Atasoma Private?
Mbona umeng'ang'ania PM wewe si utoe maelezo hapa hapa khaaAtasoma private, lakini kwa mfumo wa special need programs. If yupo interested kusoma advance, nichek pm nikuelekeze vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimkatishe tamaa, ataishia diploma tu hatoruhusiwa kuendelea na degree. Sio kwamba hataweza soma kabisa, ndio utaratibu mpya.Chuo sahau walishasema nilazima upite ADVANCE LEVEL kabla ya chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Ushauri wangu tuliza kichwa. Achana na chuo au form six. Nenda VETA chagua kozi nzuri. Hutajutia ila uwe determined na maisha yako. wengi wanakimbia huko ila ndo kuzuri
Kozi gani Veta please
Upo sahihi mkuu, ila kwa sisi wa shule za private tunaweza kumpokea. For example mimi kwangu nina watoto ambao nawachukua wengine wana only one credit, lakini nina mfumo wangu fulani ambao nautumiga kuakikisha hawa vijana wanaweza kusoma advance na hatimahe kufika chuo kwa alama nzuri tu. Na honest nimewatoa vijana wengi sana kwa mfumo huo.1. Advance ya serikali haendi 2. Advance ya private haendi kwa kuwa ana "C" mbili na wao wanahitaji "C" kuanzia tatu maana hata Chuo Kikuu bila "C" za O LEVEL huendi 3. Mpeleke VETA achukue fani ili ajiajiri mwenyewe, itamlipa kuliko kupoteza muda kwenye kurisiti.
Uko wapi mkuu?Upo sahihi mkuu, ila kwa sisi wa shule za private tunaweza kumpokea. For example mimi kwangu nina watoto ambao nawachukua wengine wana only one credit, lakini nina mfumo wangu fulani ambao nautumiga kuakikisha hawa vijana wanaweza kusoma advance na hatimahe kufika chuo kwa alama nzuri tu. Na honest nimewatoa vijana wengi sana kwa mfumo huo.
Hivyo narudia tena, huyo kijana ANAWEZA KUSOMA ADVANCE Kama yupo tayari, anaweza nichek...ili nimpe maelezo zaidi juu ya namna gani ya kumsaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mbona inajulikana na ipo Advance nyingi za private, ya kusoma kidato cha 5 huku ukirisiti mtihani wa kidato cha nne. Mtihani wa kurisiti ukifeli, habari ya Advance nayo kwisha.Upo sahihi mkuu, ila kwa sisi wa shule za private tunaweza kumpokea. For example mimi kwangu nina watoto ambao nawachukua wengine wana only one credit, lakini nina mfumo wangu fulani ambao nautumiga kuakikisha hawa vijana wanaweza kusoma advance na hatimahe kufika chuo kwa alama nzuri tu. Na honest nimewatoa vijana wengi sana kwa mfumo huo.
Hivyo narudia tena, huyo kijana ANAWEZA KUSOMA ADVANCE Kama yupo tayari, anaweza nichek...ili nimpe maelezo zaidi juu ya namna gani ya kumsaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app