Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

Hujaelewa, zamani ukiwa na diploma tu unakwenda, siyo sasa. Health related University degree unahitaji 3.5 GPA, kozi zisizo za afya unahitaji 3.0 na 4 Ds an above. GPA LAKINI pamoja na GPA hizo lazima uwe na sifa za kwenda form five kwa kozi za afya!
soma attachment hii, table 1 & 2. nadhani utanielewa
Kwa kozi za sayansi au zote kiujumla changanua vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kozi za sayansi at University level.... 3.5 GPA; na Olevel uwe na sifa za kwenda form five. soma hii kitu uielewe, ni Kiswahili, kinaeleweka. Ukikwama nijulishe
 
Attachments

  • TAARIFA_KWA_UMMA_KUHUSU_UDAHILI_-_14.8.2018_Final ENTRY QUALIFICATION BY TCU 2018.pdf
    190.9 KB · Views: 70
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Uwezi chaguliwa serikalini, lakini unaweza kupata advance katika shule za private, tena kwa mfumo unaoitwa (special need programs). Nichek pm nitakusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Advance ya serikali haendi 2. Advance ya private haendi kwa kuwa ana "C" mbili na wao wanahitaji "C" kuanzia tatu maana hata Chuo Kikuu bila "C" za O LEVEL huendi 3. Mpeleke VETA achukue fani ili ajiajiri mwenyewe, itamlipa kuliko kupoteza muda kwenye kurisiti.
 
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!

Marian Girls Secondary School information and analysis
 
Ushauri wangu tuliza kichwa. Achana na chuo au form six. Nenda VETA chagua kozi nzuri. Hutajutia ila uwe determined na maisha yako. wengi wanakimbia huko ila ndo kuzuri

Excellent mkuu,kama upo karibu na duka agiza soda nitakuja kulipa.
 
1. Advance ya serikali haendi 2. Advance ya private haendi kwa kuwa ana "C" mbili na wao wanahitaji "C" kuanzia tatu maana hata Chuo Kikuu bila "C" za O LEVEL huendi 3. Mpeleke VETA achukue fani ili ajiajiri mwenyewe, itamlipa kuliko kupoteza muda kwenye kurisiti.
Upo sahihi mkuu, ila kwa sisi wa shule za private tunaweza kumpokea. For example mimi kwangu nina watoto ambao nawachukua wengine wana only one credit, lakini nina mfumo wangu fulani ambao nautumiga kuakikisha hawa vijana wanaweza kusoma advance na hatimahe kufika chuo kwa alama nzuri tu. Na honest nimewatoa vijana wengi sana kwa mfumo huo.

Hivyo narudia tena, huyo kijana ANAWEZA KUSOMA ADVANCE Kama yupo tayari, anaweza nichek...ili nimpe maelezo zaidi juu ya namna gani ya kumsaidia.

Uko wapi mkuu?
 
Hii mbona inajulikana na ipo Advance nyingi za private, ya kusoma kidato cha 5 huku ukirisiti mtihani wa kidato cha nne. Mtihani wa kurisiti ukifeli, habari ya Advance nayo kwisha.

Aende tu VETA.
 
Male

Div III ya 22

CIV - 'C'
HIST - 'C'
GEO - 'D'
PHY EDU - 'C'
KISW - 'D'
ENGL - 'C'
PHY - 'D'
CHEM - 'C'
BIO - 'C'
B/MATH - 'F

Wakuu huyu anaweza pata advance ya serikalii..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom