advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 261
- 90
Mkuu Unamaanisha Nini Unaposema Certificate Alafu Huendi University?? Ule Waraka Wa March 2018, Ume Base Goverment Schools Tu, Wange Sema Sifa Ya Kufanya Mtihani Wa Form Six Ni Credit Ngapi?D4 unaenda chuo certificate. lakini huwezi kenda University kama una vigezo vya F5. Nimeweka waraka wa serikali humu
Mkuu Na Huyu Necta 2017Hapo una KLF,HKL,HGK,HGE,EGM lakini za mbinde tena private. Umefeli hesabu na hauna kombi la ya sayansi
Mkuu Unamaanisha Nini Unaposema Certificate Alafu Huendi University?? Ule Waraka Wa March 2018, Ume Base Goverment Schools Tu, Wange Sema Sifa Ya Kufanya Mtihani Wa Form Six Ni Credit Ngapi?
hapo kombi za arts zote zina point 8 ... Anapata lakini kwa matokeo ya nwaka huu kupenya serikalini ngumu kidogo.Mkuu Na Huyu Necta 2017
Civ C
Eng C
Kisw C
Geo D
Hist D
Bios D
Math F Private Atasoma H.G.L?
Mkuu Point Wanahesabu Kivipi? Maana Kama Ni A-1 B-2 C-3 D-4 Inamaana Hkl Atakuwa Na Point Kumi, Hgl Atakuwa Na Point 11 Alafu Ana Four 26!hapo kombi za arts zote zina point 8 ... Anapata lakini kwa matokeo ya nwaka huu kupenya serikalini ngumu kidogo.
Zamani (sijui mpaka sasa?) mtu alikuwa akipata Div4 ya points 26 anakwenda chuo cha Ualimu vizuri tu na walimu wengi wa sasa ni products za division four. Harafu tunashangaa viwango vya watoto wetu wa St. KayumbaSiku izi ata div 3 ya 25 haina tofauti na four ya 26 kwenda advance ya government
Nope . It is possible. Nina ndugu yangu alikuwa anasoma science na yeye alikosa credit moja tu. Lakin yuko diploma ya clinical officer.Kwa mwaka wao there is no shortcut.... Fuata procedures A_LEVEL TO UNIVERSITY
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima aende veta. Akapige diploma.. ten akazie apate gpa ya kuingia chuo.Wewe kijana, kwa mfumo wa sasa, kama huna sifa za kwenda form five hutaruhusiwa kwenda university. Unielewe. huyu anayekwenda veta ana ufaulu mdogo usiomruhusu kwendaA level!
Sheria ukiwa na credit 3 A-C combination unaruhusiwa kusoma A level lakini ukitaka kwenda chuo chochote cert unatakiwa uwe na pass 4 A-DKwa iyo mtu akipata A tatu za History, Kiswahili na English na akawa na division IV ya 26 na yeye ataenda chuo kwa kuwa tuu ana credit?
Dogo, ukishakuwa na division 4 tuu, sahau advance.
Mfano Bios A Civics A English A Hist F Geo F Kiswah F Anaenda Advance Kweli?Sheria ukiwa na credit 3 A-C combination unaruhusiwa kusoma A level lakini ukitaka kwenda chuo chochote cert unatakiwa uwe na pass 4 A-D
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa, zamani ukiwa na diploma tu unakwenda, siyo sasa. Health related University degree unahitaji 3.5 GPA, kozi zisizo za afya unahitaji 3.0 na 4 Ds an above. GPA LAKINI pamoja na GPA hizo lazima uwe na sifa za kwenda form five kwa kozi za afya!Sio lazima aende veta. Akapige diploma.. ten akazie apate gpa ya kuingia chuo.
Nani kasema usipopita form five hutaruhusiwa kwenda chuo? Nimesoma na watu wa diploma nikiwa chuo kikuu.
It is possible, dogo afuate sheria tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu It Is Imposible Au It Is Posible??Nope . It is possible. Nina ndugu yangu alikuwa anasoma science na yeye alikosa credit moja tu. Lakin yuko diploma ya clinical officer.
It is possible. La si hivyo diploma na vyeti zingefutwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nop iwe comb imekubali mfana History Geo na kiswahili CCC na FFFF atakuwa na IV 29 atasoma A level shule za private.Mfano Bios A Civics A English A Hist F Geo F Kiswah F Anaenda Advance Kweli?
Atasoma HGKNop iwe comb imekubali mfana History Geo na kiswahili CCC na FFFF atakuwa na IV 29 atasoma A level shule za private.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye D D C, Ana C Tatu, Atasoma Private?
Masomo yanayohesabiwa ni 7 A3F4 =DIV23 hiyo ni div 3 anaweza kusoma lkn inawezekana kweli mtu kuwa na A3 N then F 4 lazima waangalie historia yako if kuna walakini watafuta matokeoMwenye D D C, Ana C Tatu, Atasoma Private?
C3 D4 ni div 3 pts 25 comb ikibalance anaeenda A level ya serikali hasa wanawakeMasomo yanayohesabiwa ni 7 A3F4 =DIV23 hiyo ni div 3 anaweza kusoma lkn inawezekana kweli mtu kuwa na A3 N then F 4 lazima waangalie historia yako if kuna walakini watafuta matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu!??Chuo sahau walishasema nilazima upite ADVANCE LEVEL kabla ya chuo
Sent using Jamii Forums mobile app