Msaada: Nikiwa na mpenzi wa pembeni sisimamishi

Alafu watu mnahisi sipo serious nini? Hilo tatizo limenitokea jana na leo. Yaani jana niliona kawaida, ah na leo tena nikaona oh hapana. Hiyo thread nimeiweka 04:32 alfajiri baada ya kuona yamenisibu mpaka muda huo nipo hivyo. Hata ile kusimama kwa asubuh nimeshindwa.
 
A.J, My Brother hujalogwa wala nini ,nikwambie tu kua "wanawake tukipenda huwa tuna fake kila kitu, hata usipompa ela huwa tuna fake kua "it's ok"
Vivyo hivyo kwenye mapenzi mwanamke anaweza kulia kabisaa hadi ukajiona wewe ndio Bora wa viwango vikubwa lakini ukweli ni kua umemtia tu shombo na kamwe hutokuja kukaa ujue mpaka siku atakapokuchoka yeye ndio ataanza kuku disvalue


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukuru sana kuwa unaweza kupiga hata hichi cha dakika 3. kuna jamaa yangu moja yeye ameoa sasa siku moja wakatoka out na michepuko mipya wamefika huko ufukweni wakafanya yao ilipofika mda demu wake akaomba gemu, jamaa kufika jogoo akakataa kupanda mtungi. jamaa hakuwa na hiyana ikabidi amuombe mshikaji wake aokoe jahazi maana demu alikuwa na genye kibao.
 
Mazee ahsanteni sana kwa mawazo yenu.
Sijui kwanini nilikuwa na hali ile, habri nzuri ni kwamba usiku wa leo lilichezwa sebene kuanzia saa 5 usiku mpaka 11 alfajiri. Binti leo alikuwa na kazi ya kufua mashuka tu. Na mvua hiz za Dar leo hayajakauka.
 
Asee wakuu "NIKO VIZURI"
Baada ya kuona imeshindika kabisa kusimama kuna jamaa kabisa nilishaongea nae akasema kijana leta laki 1 tufanye vitu, dah nikapotezea tu(muda mwingine unaweza pigwa pesa kumbe huna tatizo) . Usiku kama utani natoka kuoga saa 4 namkuta shemeji/wifi yenu kajianika ndani ya "lanjarii" nikaona kama ananikejel maana siku 2 nimelala nae ila kama alilala na dada ake tu. Nikasema ngoja nijaribu tuu. Eh kujaribu dude likagoma kabisa kulala mpaka alfajiri, na jioni ikapiga kazi kama kawaida. Kifupi nimesharudi kwenye hali yangu.
 
Kuna kosa kaka hapo ulilifanya ...ulikubali kufutwa na chupi au kitambaa halafu mwenzio akaenda kukifanyia ufundi .....jaribu kutumia habart nuksi , udi mushtaka pamoja na mjafari chemsha katika maji

Oga kwa muda wa siku 21 utaona mabadiliko

Sent using i phone x
 
Back
Top Bottom