bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,840
zote au aina fulani tu?Nikusahihishe antidandruff zishapigwa stop kwa Tz wamesema zinasabanisha cancer
zote au aina fulani tu?Nikusahihishe antidandruff zishapigwa stop kwa Tz wamesema zinasabanisha cancer
Inaonyesha mleta mada hapaki mafuta kama mimi zamani. Wengi wa sisi wanaume hatuna bajeti ya mafuta ya kupaka. Mafuta ya nazi ndio kiboko ya tatizo. Si lazima yawe home-made hata yale ya shilingi 2,000 za kitanzania huwa yanatoshaKuhusu mafuta paka ya nazi jitahidi update yale ya kutengeza nyumbani kuhusu dawa ya kuondoa ngoja waje wataalam...ila ni wanawasha hao viumbe
Mdanganye mwenzako aendelee kuishi na mbaMafuta ya nazi si mazuri kwa nywele.
Tafuta mafuta ya mnyonyo tuma siku 2 hawarudi haooAm going breafly!
Mba wananisumbua baada ya kunyoa ndevu, ni mba wa ngozi, hawajakithiri ila ni ule weupe weupe tu.
Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka kichwani kama mafuta kila baada ya kuoga.
Asanteni
Jamaa atakuwa anamdanganya mwenzake ili anufaike na tatizo lake. Mafuta ya nazi hata yale ya Bei ya chini ni kiboko ya matatizoNapaka mafuta ya nazi kichwani na sina mba. Yaweza kua ni nini?
Hata haya pia yapo poaTafuta mafuta ya mnyonyo tuma siku 2 hawarudi haoo
ninavyokumbuka mimi ni ile jamii ya 'head and shoulder' ndiyo ilionekana na matatizoSina uhakika kma zote au la mana yule dokta alinambia ivo tu
Yes, Shampoo husaidia kuondoa mba na kukiweka kichwa chako safiShampoo gani? Kwani shampoo inasafisha kila kitu?
Kuna ile nywele zikianza kuwa ndefu tu, zinahifadhi uchafu uchafu kwa mbali plus mba ns vumbi vumbi hivi, hasa ukichana.
Ukirudi home tuangalizie kopo kujua jina lakeNenda duka la dawa mwambie nahitaji yale mafuta ya MBA ambayo yapo kwenye kikopo fulani hivi Cha kijani jina lake limenitoka ni ya mgando fulani hivi na mafuta yenyewe ni ya kijani pia yanatoka South Africa, hayo mafuta ndio kiboko ya MBA yanatibu kabisa kabisa hakikisha unapakaa kila siku asubuhi na jioni au usiku kabla ya kulala na hakikisha unamaliza kikopo kizima yaan umalize dozi nzima sio unafika Nusu unaona umepona unaacha kupaka yanauza 7,000/- nadhani labda Bei iwe imepanda
Yanaitwa whitefieldUkirudi home tuangalizie kopo kujua jina lake
Jitahidi usafi wa mwili ogea sabuni za medicated achana n superwash na whitewas






Hapa umegusa penyewe kabisaa. Akichukua huu ushauri bila shaka atapata matokeo chanya.
- Ogea sabuni ya dettol
- Kichwani paka olive oil
- Mwilini paka nivea
- Dawa ya mba ipo ya rangi ya kijani, haizidi sh. 3000
Hapo ni mafuta ya after shave.
Na ukitaka kunyowa nywele za uko chini tumia lemon air removal au veet, zinafanyakazi kazi kama magic ya ndevu.
Achana na machine zimeshapitwa na wakati.

Sio WhitefieldYanaitwa whitefield
Kiongozi hivi unafikiri sabuni medicated iuzwe 500/ hizo Rungu ,family sio medicated!- Nenda pharmacy ulizia medicated soap utapewa(zipo nyingi mfano family & rungu hizi bei rahisi kidogo
- ndio kama alipoitumia kwa mtu mwingine hakuisafisha mashine
- ngoja wavuji waje mimi binafsi nikinyoa ndevu situmii mafuta yoyote
Ungetoa na mwelekeo wa BeiNilitumia hayo mafuta yanatoka SA nilipoona completely mpaka leo sijui mba ni Nini nilikua nasumbuliwa sana usiku sipati usingzii, jina lake nimesahau Ila akienda pharmacy akiwaambia tu ninataka mafuta ya MBA kutoka SA yapo kwenye kikopo Cha kijani anayapata maana ni hayo tu na wale wa pharmacy wanayafahamu kwa hio lazima wampe hayo hayo, Mimi nilienda pharmacy nilikua nimesahau Jina nikawaeleza wakayaleta kajina kake ni kafupi tu hivi km Nivea au Vatka Ila sio Vatka yana jina lake limenitoka ukipaka hayo mafuta unapona from the first day unaanza kuona mabadiriko
Tina yupi ?Ul
Ungetoa na mwelekeo wa Tina!