Msaada nateketea. Mba wananisumbua baada ya kunyoa.

Msaada nateketea. Mba wananisumbua baada ya kunyoa.

Usiangaike sana. Haya ndiyo kiboko ya mba. Ni maalumu kwa nywele ila unaweza tumia kwenye ngozi.

Paka sehemu yenye mba. Haivuki siku 3, Mba wanaisha kabisa.

Kuna size hii kwenye picha, na ndogo yake.
20230520_235818.jpg
 
Back
Top Bottom