Msaada nateketea. Mba wananisumbua baada ya kunyoa.

Msaada nateketea. Mba wananisumbua baada ya kunyoa.

nunua mafuta yanaitwa Radiant hayo ni kiboko ya mba, mengine yanatwa Sulphur 8, ila hayo sikushauri japo yanaondoa mba
Sorry. Hivi mafuta gani ya kuoshea nywele ndefu kwa sisi wanaume ili kuondoa uchafu unaoganda chini ya ngozi ya kichwa, ambao haufikiwi kutokana na urefu mkubwa wa nywele? Na sabuni zake je?
 
Kama unaishi sehemu ya joto huwa hakuna shida, zaidi ya kunukia kinazi nazi tu
Hahahahahah. Mkuu najua nywele ndefu zinahitaji matunzo ili zisitunze uchafu chini ya nywele, hivi ukishakuwa na nywele ndefu ni mafuta gani mazuri, na sabuni gani nzuri kusafishia nywele ndefu ili kuondoa uchafu wote???
 
Sorry. Hivi mafuta gani ya kuoshea nywele ndefu kwa sisi wanaume ili kuondoa uchafu unaoganda chini ya ngozi ya kichwa, ambao haufikiwi kutokana na urefu mkubwa wa nywele? Na sabuni zake je?
ukiwa na nywele ndefu usitumie sabuni ya kipande, lazima itabaki,tumia shampoo au sabuni ya maji
 
Nywele naosha ninapooga. Naogea jamaa
Anhaaa. Mimi nikishakuwa na nywele ndefu nikioshea sabuni bado nikichana au nikinyoa nakuta kuna uchafu kidogo sana na sijui kwa nini.
 
ukiwa na nywele ndefu usitumie sabuni ya kipande, lazima itabaki,tumia shampoo au sabuni ya maji
Oooh kumbe kipande ndiyo inaleta uchafu na lile povu lake? Na ndiyo maana wengine wana nywele ndefu ila ngozi ya kichwa ni safi balaa. Hakuna mba wala vumbi vumbi. Kumbe wanatumia mafuta ya nywele?
 
Hahahahahah. Mkuu najua nywele ndefu zinahitaji matunzo ili zisitunze uchafu chini ya nywele, hivi ukishakuwa na nywele ndefu ni mafuta gani mazuri, na sabuni gani nzuri kusafishia nywele ndefu ili kuondoa uchafu wote???
Unaweza kutumia sabuni ya maji /shampoo, pia unaweza kutumia mafuta ya maji mfano olive oil n.k
 
Nina routes za Njombe na Korogwe na kotea natumia mafuta ya nazi. Siyo kwamba ngozi ya mtu inachangia labda?
Nywele zako hazihifadhi uchafu? Umeshawahi kufuga nywele ndefu na ukawa unatumia mafuta ya nazi pasipo nywele zako kutunza uchafu?
 
Nina routes za Njombe na Korogwe na kotea natumia mafuta ya nazi. Siyo kwamba ngozi ya mtu inachangia labda?
Kama unatembelea sehemu za baridi, nazi uganda na kutengeneza ukoko kwenye ngozi
 
Nilitumia hayo mafuta yanatoka SA nilipoona completely mpaka leo sijui mba ni Nini nilikua nasumbuliwa sana usiku sipati usingzii, jina lake nimesahau Ila akienda pharmacy akiwaambia tu ninataka mafuta ya MBA kutoka SA yapo kwenye kikopo Cha kijani anayapata maana ni hayo tu na wale wa pharmacy wanayafahamu kwa hio lazima wampe hayo hayo, Mimi nilienda pharmacy nilikua nimesahau Jina nikawaeleza wakayaleta kajina kake ni kafupi tu hivi km Nivea au Vatka Ila sio Vatka yana jina lake limenitoka ukipaka hayo mafuta unapona from the first day unaanza kuona mabadiriko
Aisee nitaulizia! Nipake kichwani ! Hauna hata kikopo chake tu?
 
Back
Top Bottom