Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,733
Mafuta ya nazi si mazuri kwa nywele.yeah kipindi niko F2/F3, yakaniletea shida ya mba kinoma
Mafuta ya nazi si mazuri kwa nywele.yeah kipindi niko F2/F3, yakaniletea shida ya mba kinoma
niliacha mzeeMafuta ya nazi si mazuri kwa nywele.
Niache kazi za msingi nianze kutunza nywele mzee? nimesema hayo ni mafuta ya nywele atumie yanasaidia kumaliza mbaUnatumia kuzitunza nywele zako katika hali ya usafi?
Hahahah mba walikukosesha watoto wazuri?niliacha mzee
sa ivi ni mwendo wa dongo tu





Sawa! Nilimaanisha kuwa, kuoshea nywele ndefu. Si unajua nywele ndefu ukiosha kwa sabuni na maji pekee zinakuwa na mba plus vumbi?Niache kazi za msingi nianze kutunza nywele mzee? nimesema hayo ni mafuta ya nywele atumie yanasaidia kumaliza mba
Hayo mambo ya kutunza nywele ni kidada
hahahaha hapana, kipindi hicho nilikua domo zege, so ni mwendo wa nyeto tuHahahah mba walikukosesha watoto wazuri?![]()
Hahahah mpaka now si ni domo zege thats why unajihusisha na punyeto?hahahaha hapana, kipindi hicho nilikua domo zege, so ni mwendo wa nyeto tu
sa hivi ni dongo, kipara kila sehem, mpaka kule kwa Mr Johnson
hahahaha noma sanaHahahah mpaka now si ni domo zege thats why unajihusisha na punyeto?
Acha hiyo dronehahahaha noma sana
Hapana mim na nywele nyingi ila siyo ndefu nanyoa mara kwa mara sasa mba zikawa zinanisumbua kwa miaka mingi hasa nikiogea maji ya chumvi nikatumia hayo mafuta Radiant kupaka tuSawa! Nilimaanisha kuwa, kuoshea nywele ndefu. Si unajua nywele ndefu ukiosha kwa sabuni na maji pekee zinakuwa na mba plus vumbi?
Ni ndevu tu!!?Am going breafly!
Mba wananisumbua baada ya kunyoa ndevu, ni mba wa ngozi, hawajakithiri ila ni ule weupe weupe tu.
Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka kichwani kama mafuta kila baada ya kuoga.
Asanteni
Katafte hiyo dawa ya kumeza itakusaidiaAm going breafly!
Mba wananisumbua baada ya kunyoa ndevu, ni mba wa ngozi, hawajakithiri ila ni ule weupe weupe tu.
Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka kichwani kama mafuta kila baada ya kuoga.
Asanteni
Mkuu, kuna dawa ambayo inaweza kukusaidia kuondokana na hilo tatizo. Ni dawa ya asili ya Maji ya kupaka.Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka kichwani kama mafuta kila baada ya kuoga.
Paka brake fluid au mafuta ya kusafishia bundukiAm going breafly!
Mba wananisumbua baada ya kunyoa ndevu, ni mba wa ngozi, hawajakithiri ila ni ule weupe weupe tu.
Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka kichwani kama mafuta kila baada ya kuoga.
Asanteni
Nikusahihishe antidandruff zishapigwa stop kwa Tz wamesema zinasabanisha cancernyinyi ndiyo munasababisha wenzenu wapate cancer> Oil na mafuta ya cherehani siyo kwa ajili ya matumizi ya binadamu (hata kwenye ngozi).
Shampoo za antidandruff ndiyo zinatumika kuondoa mba kichwani na hata kwenye ndevu
Ingekua vizuri ungeweka namba yake hapa watu wote wafaidike mna hili la M'ba ni janga kwa TaifaMkuu, kuna dawa ambayo inaweza kukusaidia kuondokana na hilo tatizo. Ni dawa ya asili ya Maji ya kupaka.
Bei ya hiyo dawa ni kiasi cha shilingi 40,000 tu. kwa ujazo wa 50ml/Bottle. nina uhakika itaondoa tatizo lako. Binafsi ilinisaidia 100%.
Muuzaji wa hio dawa anapatikana Mafinga/Iringa, but anaweza kuituma popote ulipo, then ukaifuata, ukalipa wakati unaichukua, endapo ukihitaji nitafute nikupe mawasiliano yake.
Asante.
Ketoconazole shampoo mbona zipo sokoni?..na ni antidandruff.Nikusahihishe antidandruff zishapigwa stop kwa Tz wamesema zinasabanisha cancer
Sio maneno yangu ni maneno ya dokta ambae ninamfahamu vzr tuKetoconazole shampoo mbona zipo sokoni?..na ni antidandruff.