Msaada nateketea. Mba wananisumbua baada ya kunyoa.

Msaada nateketea. Mba wananisumbua baada ya kunyoa.

Ahsante. Je, ikitokea umenyoa ndevu, ili kuepuka mba kidevuni na juu ya midomo, ni mafuta gani unakuwa unapaka?
Tafuta mafuta haya nenda pharmacy waelekeze km nilivyokuelekeza au kesho nikipita pharmacy nitakupigia picha hayo mafuta nikuwekee humu uyaone👇
Nenda duka la dawa mwambie nahitaji yale mafuta ya MBA ambayo yapo kwenye kikopo fulani hivi Cha kijani jina lake limenitoka ni ya mgando fulani hivi na mafuta yenyewe ni ya kijani pia yanatoka South Africa, hayo mafuta ndio kiboko ya MBA yanatibu kabisa kabisa hakikisha unapakaa kila siku asubuhi na jioni au usiku kabla ya kulala na hakikisha unamaliza kikopo kizima yaan umalize dozi nzima sio unafika Nusu unaona umepona unaacha kupaka yanauza 7,000/- nadhani labda Bei iwe imepanda
 
Hata mm zilinisumbua saana mba, nilitumia dawa nyingi mnoo zote mlizotaja hapo juu, sonaderm,medicated sops nk.

Nilikuja kupata suluhisho la kudumu.,.. Ni mafuta ya nywele ya Movit hair tu....yapo madogo kuanzia 500 na kuendelea....

Nilishasahau habari ya mba za kichwani wakuu mwaka wa 5 huu....

Nb...yafanye kuwa mafuta Yako ya kila siku.
 
Ni mafuta ya nywele ya Movit hair tu....
Ubaya wa MBA kuna mafuta wewe ukipaka unapona Ila mwenzio akipaka ni km anawazidisha, Mimi hio Movit ilidunda nikaja kutumia dawa mbili ndio nikapona moja ni ya Tube nimesahau Jina na mengine ndio hayo ya South Africa ni ya kijani na hayo ndio yaliponesha nilikua napaka yote kwa pamoja nikipaka ya Tube napaka na hayo ya kijani ya mgando hivi na hio ndio pona yangu, nilipomaliza na MBA kwaheri nikapona moja kwa moja hadi leo siwajui MBA ni nini
 
Nilitumia hayo mafuta yanatoka SA nilipoona completely mpaka leo sijui mba ni Nini nilikua nasumbuliwa sana usiku sipati usingzii, jina lake nimesahau Ila akienda pharmacy akiwaambia tu ninataka mafuta ya MBA kutoka SA yapo kwenye kikopo Cha kijani anayapata maana ni hayo tu na wale wa pharmacy wanayafahamu kwa hio lazima wampe hayo hayo, Mimi nilienda pharmacy nilikua nimesahau Jina nikawaeleza wakayaleta kajina kake ni kafupi tu hivi km Nivea au Vatka Ila sio Vatka yana jina lake limenitoka ukipaka hayo mafuta unapona from the first day unaanza kuona mabadiriko
 
Hata mm zilinisumbua saana mba, nilitumia dawa nyingi mnoo zote mlizotaja hapo juu, sonaderm,medicated sops nk.

Nilikuja kupata suluhisho la kudumu.,.. Ni mafuta ya nywele ya Movit hair tu....yapo madogo kuanzia 500 na kuendelea....

Nilishasahau habari ya mba za kichwani wakuu mwaka wa 5 huu....

Nb...yafanye kuwa mafuta Yako ya kila siku.
Hayo mafuta unapaka kwenye nywele au? Baada ya kuoga?
 
Hata mm zilinisumbua saana mba, nilitumia dawa nyingi mnoo zote mlizotaja hapo juu, sonaderm,medicated sops nk.

Nilikuja kupata suluhisho la kudumu.,.. Ni mafuta ya nywele ya Movit hair tu....yapo madogo kuanzia 500 na kuendelea....

Nilishasahau habari ya mba za kichwani wakuu mwaka wa 5 huu....

Nb...yafanye kuwa mafuta Yako ya kila siku.
Oooh kumbe unatakiwa kuyatumia kama mafuta yako ya kudumu ya nywele, hata baada ya kumaliza dozi?
 
Hapo ni mafuta ya after shave.

Na ukitaka kunyowa nywele za uko chini tumia lemon air removal au veet, zinafanyakazi kazi kama magic ya ndevu.

Achana na machine zimeshapitwa na wakati.
Sawa sawa mzee wangu.
 
Hapo ni mafuta ya after shave.

Na ukitaka kunyowa nywele za uko chini tumia lemon air removal au veet, zinafanyakazi kazi kama magic ya ndevu.

Achana na machine zimeshapitwa na wakati.
Hayana effect(bad) in a long run?
 
nunua mafuta yanaitwa Radiant hayo ni kiboko ya mba, mengine yanatwa Sulphur 8, ila hayo sikushauri japo yanaondoa mba
 
Back
Top Bottom