Msaada Nataka kwenda Marekani kutafuta maisha

Msaada Nataka kwenda Marekani kutafuta maisha

Kama kweli upo serious njoo PM nikupe mchongo, nakuhakikishia ukikazana ndani ya mwaka basi utakuwa na visa yako mkononi. ..uvumilivu unatakiwa
Hebu upitishie huo mchongo kwanza kwangu,maana huku nilipo Twa twa twa Kilosa maisha ni magumu,ila Marekani na Ulaya sitaki hadi miaka 10 ijayo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Unajua ndg yangu cc watz UOGA ni JANGA kwetu....huyu ndg anaetishwa Akifanya ubishi akienda nakufanikiwa akirudi hapa wote watamheshimu Tatizoletu niwatu wakulidhika mtu akiweza kumiliki Store inayoitwa nyumba na VITZ amemaliza Hii nitofauti kwa jamaa wa nch nyingine kwenye kutafuta hakuna kuogopa ila nivzr kujua changamoto utakazo zikuta itakusaidia kuishi nazo mimi kiukweli mtu akisema Dar, imemshinda anasonga mbele huwa namheshimu sana kuliko anaeliatu....
Kweli kabisa aliethubutu na kufeli hafanani na muoga. Kwangu mimi aliyejaribu na kushindwa huyo huwa namheshimu sana kwani alijitahidi kuchukua hatua na hawezi kuwa kama alivyokua atakua na mtazamo tofauti kuhusu maisha
 
Rihana. Na. Mzalendo sio kweli eti watu wanazoa barafu...sijui nani anawadanganya....na hizo kazi za dollar 10 bora zipo bongo utapata? Acheni kuwaharibiwa watu mtu kama anataka kutafuta maisha ni popote sijui watanzania gani unaowajua wanakaa barabarani? Huo ni uzushi.....mnabwabwaja tu for no reason...maneno ya wakosaji....njoo utembee kwa mzee Obama uone instead of kurusha vijembe.
 
Last edited by a moderator:
Wewe guasa chizi kweli kazi ni kazi bora mkono uende kinywani....sasa ni bora kuogesha vibibi au kukaa bure?????no ajira angalia umati ulivyorundikana dimond jubilee nafasi za tra....kuku kweli wewe
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mimi nimekaa majimbo kadhaa ya huku America kama vile DC,Virginia,Maryland na NewYork city,swali la kwanza ili nikusaidie una miaka mingapi na una elimu level gani nijue pa kuanza kutoa ushauri binafsi.

level ya elimu haimati sana tena kama umesomea Afrika.Ukimaliza tu High school inatosha kula bata la muhimu unaweza ukaongezea Training za muda mfupi na maisha yakasonga.

Elimu ya Afrika hawaitambui sana hadi usome tena kama upendi kusoma kuna training za muda mfupi na maisha yanasonga .

ukiwa nurse au kama umesomea IT ni deal zaidi.

lakin sijui bachelor of political science,Business etc labda usome tena bila hivyo utahesabika kama High school.

Uku pia ata kama ujasoma ukiwa na driving licence maisha yanaenda.
 
subiri hadi ukiugua tezi dume ndio utafika huko...
 
Mkuu zebralover nipe mchongo nije huko kwa obama maisha ya Kyela huku yamebana sana kila nikilima mpunga ndege wanamaliza.
 
Last edited by a moderator:
mwalupe mchongo ni tafuta mualiko then unazama tu! Sio kazi hata kidogo...watu wanadanganyana sana. Maisha ni everywhere ni jinsi unavyoyaendesha........
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SDG
Jamani nataka kwenda Marekani kutafuta Maisha nauli ninayo kwa anaejua Prosees za kufika kule na michongo ilivyo amtired Bongo maana sina ndugu yeyote anaekaa ulaya naombeni msaada jamani

Kwani maisha yamekimbilia Marekani. Naamini ni rahisi kufanikiwa sehemu ambazo bado watu hawajaamka. Huko Marekani labda ukafanye kazi za maguvu au ujanja ujanja.
 
Dume zima na midevu yako unaenda kuwa house boy wa Preta hapo tu anakumezea mate!!kumiliki mfua vyupi wa ndani ni issue ngumu mno Usa/UK, ila nenda tu,ni bora ukafue boxer za mahawara wa dada P kuliko kupinda mgongo. Nanjilinji,mi siendi mahali,kwanz hapa pamoja na elimu yangu ndogo naitwa Manager,huko ntajitia aibu bure,ntakuja tu kikazi na au kuwatembelea nyie siku kibubu changu kikijaa,ila kuja kuogesha viji kokoo hapanaa!!
 
Last edited by a moderator:
Dume zima na midevu yako unaenda kuwa house boy wa Preta hapo tu anakumezea mate!!kumiliki mfua vyupi wa ndani ni issue ngumu mno Usa/UK, ila nenda tu,ni bora ukafue boxer za mahawara wa dada P kuliko kupinda mgongo. Nanjilinji,mi siendi mahali,kwanz hapa pamoja na elimu yangu ndogo naitwa Manager,huko ntajitia aibu bure,ntakuja tu kikazi na au kuwatembelea nyie siku kibubu changu kikijaa,ila kuja kuogesha viji kokoo hapanaa!!

wewe unaweza kuwa meneja bongo na yeye akawa house boy ulaya lakin akakuzidi kipato sana na maendeleo nyumbani.

mimi ata siku moja siwezi kuzarau kazi ya mtu mfano mzuri na rafik yangu yeye ni anauza kinywaji kwenye bar ameajiriwa tu lakin kila siku anapata tips kutoka kwq wateja si chini ya dolla 500 hizo ni kama laki 8 na 70 hapo bado mshahara wake dolla 12 kwa saa .

usije ukadharau kazi ya mtu
 
Last edited by a moderator:
Maneno ya mkosaji wewe Capt Tamar kufua chupi za mahawara umeona deal...lowest mind....hakuna house boy huku kila mtu anafanya kazi mwenyewe lazima ulinyimwa visa...ndio maana mapovu yanakutoka ungepata naona ungekuwa usa long time....loser...
 
Last edited by a moderator:
For yr information wewe chokoraaa unayejifanya kuponda kazi za wenzie some of us got very good positions...na sio housegirls nenda kanawe matongotongo.....kwanza ndio uingie kwenye uzi....
 
hakuna jambo lisilowezekana chini ya jua, wengi wamethubutu na wakafanikiwa, cku zote mwanzo huwa mgumu. tumpe mawazo mazuri mwenzetu maana nia yake ni kusonga mbele. tusikatishane tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom