mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,168
- 8,935
Kama umeshindwa maisha TZ utaweza Marekani?usidanganyike na picha za kwenye FB au Insta,muulize Le Mutuz atakwambia,Marekani ipo hapa hapa kaka.Kazi zilizobaki huko labda labda kuviosha vibabuJamani nataka kwenda Marekani kutafuta Maisha nauli ninayo kwa anaejua Prosees za kufika kule na michongo ilivyo amtired Bongo maana sina ndugu yeyote anaekaa ulaya naombeni msaada jamani